Chadema mmetusahau JIMBO la Mwanga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema mmetusahau JIMBO la Mwanga.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpigania Uhuru, May 9, 2012.

 1. Mpigania Uhuru

  Mpigania Uhuru Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ni ukweli unaojulikana napa Mwanga mbunge wa sass prof. Jumanne Maghembe hapendwi napa wilayani Kwa sababu ya maneno yake ya dharau na kejeli Kwa wapiga kura wake.
  Kwenye kura za mchujo ccm mwaka 2010 aliiba kura NA kuwatumia watoto wa shule ya msingi kumpigia kura bado akapata kura elfu Saba plus wakati mpinzani wake aliyemfuatia alipata kura elfu tano plus(Kwa mtu aliyekuwa madarakani alitakiwa apate kura nyingi zaido, ukizingatia nyingi zilikuwa za wizi).
  Sisi wana Mwanga tumekuwa tumisubiria ukombozi wa kweli kutoka chadema lakini hatuoni hata mikakati ya kuwakomboa wananchi hapa.
  Tunaomba sana chadema mkaribie Mwanga mtukomboe dhidi ya hawa viwavijeshi wanaokula Mali ya umma.
   
 2. s

  simon james JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani wameiona hii. Pia andika barua kwa katibu Chadema mkoa
   
 3. Mpigania Uhuru

  Mpigania Uhuru Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nitafanya hivyo.
  Tunahitaji mawazo mbadala namna ya kujikomboa NA umaskini huu ambao umeletwa NA CCM.
  ITS TIME FOR CHANGE.
   
 4. M

  Mzee Kabwanga Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Anzisheni juhudi kuanzia sasa halafu Mkoa. Hatahivyo nimeona mna ofisi nzuri sana pale wilayani hongeeni sana.
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Kama nimekuelewa vizuri ni kwamba hamumtaki Maghembe kwa sababu mliibiana kura nyinyi wenyewe CCM kwa CCM, lakini angeshinda mgombea wako aliyebiwa Kura ndani ya CCM usingekuja na hii mada, wewe ni sehemu ya Magamba maslahi, mambo ya CCM sisi yanatuhusu nini?
   
 6. m

  mob JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,028
  Likes Received: 511
  Trophy Points: 280
  nathani ifike wakati watu waache kumtegemea mtu au chma fulani ili kiweza kuwawajibisha viongozi wabadhilifu au wasiowajibika.nenda kwake uso kwa uso then mwambie huwajibiki ni jukumu la kila raia wa Tanzania kusimama na kudai haki pasipo kusubiri wengine watufanyei au wakufanyie.
   
 7. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nendeni hapo mwanga mkae barabarani hadi atakapoachia ubunge,teh,teh,teh,teh................
   
 8. o

  oakwilini Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Prof Maghembe amejaa dharau na kiburi cha bure kwani saa yake inakuja.AMESHINDWA KUTATUA TATIZO LA MAJI mwanga ambapo angemwamsha huyo pono mwenzake wa same(matayo),wilaya zao ziko nyuma zaidi kimaendeleo ktk mkoa wa kilmanjaro.Hawa wanatimiza ule msemo wa wahenga "asiyependa wa kwao ni mchawi"CHADEMA SIKIENI KILIO HIKI PELEKENI MATUMAINI KWA WATANZANIA HAWA.
   
 9. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,487
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Nyinyi mlipewa nafasi ya kafanya mabadiliko(2010) mkaishia kumpa kura tena nyingi tu. Leo unakuja kulialia hapa.
   
 10. s

  simon james JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado kuna nafasi ya mwisho nayo ni 2015
   
 11. C

  CHAKA CHUWA Member

  #11
  May 9, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Achana nao hao
   
 12. G

  Grayson Member

  #12
  May 9, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Kwa kweli Jimbo la Mwanga limekuwa nyuma sana ndani ya mkoa wa Kilimanjaro katika swala zima la mabadiliko. Mi napendekeza ufanyike uhamasishaji wa ndani kwa ndani kabla ya kuita viongozi wa kitaifa wa CDM
   
 13. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamekusikia na watafika huko usijali mda si mrefu
   
 14. b

  bangusule Senior Member

  #14
  May 9, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kama uko mwanga na ni mwanachama wa ccm hamasisha wenzako mbadili chama na wote muwe wana CDM. lengo ni kugomboa mtandao wa ya CCM kuwa ni mtandao wa CDM.
   
 15. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Wananchi wa MWANGA wanaweza kiukataa CCM wakihamasishwa.
  Watambue kuwa hawakuzaliwa kuwa wana CCM maisha yao.
   
 16. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Anzeni kwanza ninyi. Jengeni mtandao wa wanachama kwanza, fungueni matawi kwa wingi. Baada ya hapo ndo muwaite viongozi kwa kitaifa kutia chachu ya mabadaliko.
  Kumbuka chama imara kinajengwa na mtandao imara wa wanachama kuanzia ngazi ya kaya, ipande hadi ngazi ya taifa.
   
 17. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nyie huko mwanga kaeni hivyo hivyo maana mna tabia ya kurithisha watu majimbo, cleopa msuya alikuwa mbunge wa mwanga hadi alipostaaafu siasa na mrithi wake ni magembe sasa nyie subirini tu hadi astaafu siasa na kwa vile ni mwamini wa siasa za familia kama makamba basi mbunge wenu mtarajiwa ni magembe junior
   
Loading...