Kauli ya Membe vis a vis Kamati ya Mambo Nje Ulinzi na Usalama!

Meitinyiku L. Robinson

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
412
90
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe kasema Tanzania haina tatizo na Jamhuri ya watu wa Sahara na inawaunga mkono. Nataka kujua kufahamu kauli hii ina afikiana na ile ya Kamati ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama ama bado kuna jambo linahitaji ufafanuzi.

Naomba masahihisho ama kueleweshwa kwa lolote

Source TBC!

MEITINYIKU L. Robinson
 
Joka la mdimu hilo.... ammekuwa kama waziri asiye na wizara maalum kama Mwandosya, kwani baba mwanaasha ameshikilia safari zote za nje (kama Foreign Minister), kwa hiyo membe amekuwa kama amedata hivi... Nae aombe kupumzishwa kama mwandosya.....
 
Back
Top Bottom