Sensa ya watu na makazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sensa ya watu na makazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gamariel, May 9, 2012.

 1. Gamariel

  Gamariel Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Sep 8, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndugu wana JF hivi kuna yeyote anayeweza kunielezea kama kuna mioango madhubuti ya kimkakati yatakayowezesha sensa ya mwaka huu kuwa makini itakayotoa taswira ya takwimu za watu nchini inayoainisha makundi yote?
   
Loading...