New Cabinet: The Alternative! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New Cabinet: The Alternative!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, May 9, 2012.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Wakuu wote JF, heshima mbele sana:-

  - I mean toka Rais apangue Baraza la Mawaziri wiki iliyopita, kumekuwa na vilio vingi sana toka sekta mbali mbali za jamii na hasa wananchi na media kwamba Baraza jipya ni wale wale tu na kwamba kwa nini Rais ameenda nje ya Bunge kutafuta mawaziri watatu wapya.

  - Sasa hebu Great Thinkers tuongee solutions, tupange baraza ambalo lingefaa kutokana na Wabunge tulionao sasa, tuwataje kwa majina na nafasi ambazo wangefaa sana kuliko wale walioteuliwa karibuni na Rais. Ndio njia pekee tunaweza kusaidia watawala kuelewa walipokosea, kuliko kulia lia bila kuwapatia solutions, for once tuanze kujifunza kuwa part of solutions badala ya kuwa part of the problem kwa kulia lia bila kusema what are solutions!

  MUNGU AIBARIKIE TANZANIA!


  William John Samwel Malecela.
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Kwan bila kuwepo kwao, nini tutakikosa? Wanasaidia nn hasa?
   
 3. I

  Iramba Junior Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka sijaelewa vizuri nini hasa unahitaji! Suppose nasema Mwigulu awe waziri wa Habari, itasaidia nini?Je hili linaweza kubadili baraza la mawaziri na kumfanya atengue uteuzi wake?
   
 4. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tutapanga 2015 usijali mkuu.
   
 5. Marunda

  Marunda Senior Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Shit!, It is Clamour idea and not supportive. We need innovate thread maaaaaaaaaaaaaan!!!!!!!!!!!
   
 6. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Hapana atleast tutawaonyesha watawala kwamba we have an idea ya kwa nini tunawakosoa na baraza jipya, kwa mfano tuwaambie kama sio Pinda, nani kwa sasa anafaa kuliko yeye na amefanya nini hapo alipo cha kutufanya tuseme anafaa kuliko Pinda, ni ombi tu since tumeshambulia sana baraza jipya!

  - Kwamba itasaidia nini? Then we need to close this JF's shop, kwani tunasaidia nini hapa anyways inaonyesha ni dalili ya kukata sana tamaa mkuu wangu, tusichoke Roma haikujengwa siku moja!

  William.
   
 7. I

  Iramba Junior Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu nimependa wazo la mdau kwamba, usiwe na hofu baraza jipya 2015, pia elewa kwamba tatizo si nani awe nani tatizo ni mfumo kaka!Mi sidhani kama kuna haka ya kujadili hoja hii, ni mtazamo wangu!
   
 8. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  2015 tutajua nani anafaa kutupangia baraza la mawaziri!!!
   
 9. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lusinde - Waziri wa Uhusiano,
  Wassira - Wanawake Jinsia na Watoto,
  Lowassa - Fedha,
  Prof Maji Marefu - Afya.

  TUMBIRI wa JF,
  P.O BOX - PM JF.
   
 10. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Ohhhh! kumbe kilio chote tunachokisia toka last week ni tatizo la mfumo tu? Sio uwezo wa mawaziri wenyewe waliochaguliwa? Sawa mkuu I got it!

  William.
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Reshuffle imefanyinka last Friday, hili baraza litakaloundwa hapa JF ni la nini? What difference would it make?

  NB: kwenye red, too much 'I mean' hata sehemu ambazo hazistahili.
   
 12. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #12
  May 9, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Wewe mchango wako ni nini !? Au tufanye wewe haumo ! Blai mbona unatuchora !
   
 13. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #13
  May 9, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - ha! ha! ha! ha! ha! hii imenivunja mbavu sana mkuu wangu! ha! ha! ha! ha!

  William.
   
 14. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #14
  May 9, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Ha! ha! ha! ha! hapana mimi sijalalamikia baraza jipya, nilichofurahi ni kwamba ripoti ya CAG imesikilizwa tu, that to me was the best of this ishu, otherwise nilikuwa ninashangaa sana wananchi kulalama kwamba mawaziri wapya hawafai, sasa nilitegema kusikia hapa wanaofaa walioachwa, so far inaonekana hakuna! au? ha1 ha! ha!

  William.
   
 15. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mi sioni tofauti yoyote kati ya wale wa zamani na hawa wapya. Wote ni Majambazi as long unaitumikia CCM. Kwanini tuzunguke mmbuyu wakati tatizo ni CCM. Miaka 50 ya Uhuni wa CCM its enough now. Time to remove them hawa Mafisadi. Rais legelege, watendaji legelege mimi wala sioni tofauti yoyote kwenye hilo Baraza. Labda nyie wanamagamba msiokuwa na macho hamtaki kuyafungua macho yenu, hasa wewe @ New York husikii wala huoni Ufisadi uliojaa kwenye serikali ya Kikwete, serikali iliyooza na inanuka Ufisadi kila idara kuanzia Magogoni. wizarani mpaka wilayani, kilichobakia ni kuizika tu na ukichelewa @ New York tutakuzika na wewe
   
 16. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0

  Ndio hapo sasa... how would it help?
  how would our views in this thread be part of the solution?
   
 17. Marunda

  Marunda Senior Member

  #17
  May 9, 2012
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Usituchore. Hata wiki mbili baraza halina. Ni vema kusubiri na kuona wanafanya nini. Tusikurupuke. Umekosa cha kuandika.

  Wanavyosema kama ukipatiwa ukuu wa wilaya itakuwa ni hasara kwa taifa ideas zako mbofumbofu tuu. thats why ulikosa ubunge wa EAC the MP were very right!
   
 18. F

  FJM JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nini kinachokuvunja mbavu?
   
 19. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Solution ni kuwatoa Magamba na kuirudisga Serikali chini ya wananchi na kuwafunga Mafisadi wote walioliingiza hili Taifa kwenye Matatizo tukianzia na Mkapa, Kikwete na Mafisadi wenzao
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Lusinde L = prime Minister

  Maji marefu = sayansi na technology

  John Komba = utamaduni na mapenzi

  Dr Mwanjelwa = Afya

  Chatanda = madini

  Anne Kilango = Waziri wa mambo ya hovyo hovyo

  Idd Azan = Waziri mambo ya Nje

  Malima Adamu = Waziri wa nyumba na guest house

  I'm coming back with full cabinet
   
Loading...