Mhe. Nundu Vs Mhe.Mfutakamba hapatoshi!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe. Nundu Vs Mhe.Mfutakamba hapatoshi!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHAKA CHUWA, May 9, 2012.

 1. C

  CHAKA CHUWA Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF;
  Jana tarehe 8/05/12 majira ya saa sita mchana nilikuwa pale chini kwenye jengo la Wizara ya Uchukuzi ilikuwa ni siku ambayo Viongozi waliokuwepo wakiongoza Wizara hizo walikuja kukabidhiana Ofisi na waheshimiwa walioteuliwa kuongoza Wizara hiyo.Nikiwa pale chini ghafla alitelemka Mhe. Mfutakamba kwenye gari na kuelekea kwenye lango kuu la kuingia Wizarani hapo ghafla mhe.Nundu nae alikuwa ameshamaliza zoezi lake la kukabidhi na anatoka kueleka kwenye gari lake tayari kwa kuondoka. Kitu ambacho kimenisukama kuandika thread hii ni hao Viongozi tenawalikuwa mawaziri wa Wizara moja kupishana kama watu ambao hawajuani hata hawajawahi kuonana kabisa katika Dunia hii. Najua katika siasa kuna mambo mengi ya kukwazana hasa katika suala zima la maslahi lakini tayari unga umeshamwagika kuendeleza chuki baina yao sioni kama ni jambo la heri.

  Naleta kwenu wana JF ili tuwashauri hao waliotoswa wasiendeleze chuki kati yao najua hata mhe.Chami na Nyalandu mambo ni yale yale tuwape moyo.
  MWANA JF
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,472
  Likes Received: 9,874
  Trophy Points: 280
  Siku za mwisho watu watakuwa wenye kupenda fedha, UPENDO wa wengi utapoa
   
 3. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  The way the cookie crumbles....
   
 4. M

  MULANGILA Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yangu macho.
   
 5. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,027
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  I like Prof Omar Nundu..the guy seems to have a vision....:flame::flame: kuliko Mfutakamba Athman jamaa ni PhD holder lakini ana mabobish
   
 6. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,846
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Hizi taarifa si za kweli, ugomvi wao ulishamamlizwa kwa kutumia vikao vyetu ndani ya chama. Usipende kuwagombanisha wabunge wetu
   
 7. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Cha msingi Mfutakamba amgawie Mwenzake japo Milion 700 tu. Aiwezekana achukue 3 Billions peke yake huku Bosi wake akirudi mswaki.


  TUMBIRI wa JF,
  PO BOX - PM JF.
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Nafsi zao umezikagua???
   
 9. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haisaidii kwa sababu hawatasoma thread hii, hawapo hapa jukwaani!!
   
 10. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tuwape moyo WA nini ilhali wameondoka kwa Machafu?!! Haijalishi wanahusika kwa kiwango gani lakini kikubwa at least kuna hatua sahihi zimechukuliwa kunusuru inji na walafi. Najua wengi wamebaki lakini mapambano yanaendelea.
   
 11. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,903
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Sioni sababu ya muhimu kuhangaika kufikiria kuwapatanisha MAJIZI
   
 12. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 933
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  Wakawekeane kinyongo na wake zao waone
   
 13. masatujr1985

  masatujr1985 JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1,861
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Kumbe walikuwa na ugomvi hata chama kilifahamu hilo!! Then Chama nacho Hakifai maana walitakiwa kuondolewa mapema na CCM (Magamba)
   
 14. masatujr1985

  masatujr1985 JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1,861
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa wote hawakufaa maana walionja kidogo tu wakatunisha misuli kama chui. Especially huyu aliyekuwa waziri analugha za kuudhi hata bungeni analia lia kama mtoto sijui ni toddler ama akulelewe vizuri udogoni. Mtu mzima kama yule kulia mbele ya wanaume wenzio tena kwa kazi ya taifa ni kujikosha uhurumiwe alhali huna uwezo.
  Akafie mbali na huyo mwenzie aliyeongwa na wageni (MUUZA NCHI) kwa trip moja ya nje (KINYONGA)
   
 15. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,124
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Watayarishie pambano la ndondi za kulipwa ili tujue moja.
  Mimi nitalipia kuona mchezo huo
   
 16. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 844
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ugomvi wao siyo kwa maslahi ya umma na tena wote hawana sifa ya msingi ya kuwa viongizi wetu.
   
 17. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,318
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Mh.Nundu alikua anatetea maslahi ya umma ndio maana CCCC wakaamua kumtumia mwenzake.
   
 18. b

  braza makaptula Member

  #18
  May 9, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we mbona mpuuzi! mwenzio anakwambia alichokiona wewe unabisha ulikuwepo? yani magamba ni taabu tu
   
 19. mwanamapinduko

  mwanamapinduko Senior Member

  #19
  May 9, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ningekuwa Rais ningempa Mh Omar Nundu uwaziri wa utawala bora. Ni mtu muadilifu asiyependa ubabaishaji.
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  too late for him. ajiandae na kuvuliwa ubunge hukop kwake TAnga. kwanza wananchi wake walishamweleza jk kuwa hatakiwi. aende salama.
   
Loading...