Serikali inakuwa "reactive" hata kwa inaowamudu? Ati mkuu wa wilaya ile aliya abwagwa

Elifasi

Senior Member
Nov 1, 2010
180
5
Jamani hiii serkali imefikia hatua inakera mpaka unakosa tusi... Yaani hamna siku inaweza kuwa proactive na kuanzisha mambo/actions za kutatua challenges hizi nyingi?, badala yake inaishia kuwa reactive everytime inapochukua hatua au kujibi lawama! Ati PM anasema si kwamba mkuu wa wilaya kajiuzuru bali alijua asingerudishwa ndo maana kachomoka kiaina ivyo....shame!!! ....shaaaaaame on u, Ppphhuuuh!!!!!
 
Back
Top Bottom