Wakuu wa Wilaya kutangazwa leo

Wakuu wa Wilaya kutangazwa leo

Kassim Awadh

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
884
Reaction score
187
Waziri Mkuu atatangaza majina ya wateule wakuu wa wilaya muda c mrefu leo hii, ni matumaini yangu mmoja ya wana jf atateuliwa
 
Hawa si wanateuliwa na rais? Itakuwa prezidaa kabwaga uozo hapo anamuachia PM umnukie
 
Acha hizo wewe Rais yuko Ethiopia Waziri Mkuu hana madaraka ya kikatiba kutangaza wakuu wa wilaya.

Wapi chanzo cha taarifa yako?......Udaku street!!!!!!!!!!!
 
W. J. Malecela - Uvinza,
Sioi Sumari - Chato,
Hiza Tambwe - Busega,
Sambwee Shitambala - Kishapu.


TUMBIRI wa JF,
P.O BOX - PM JF
 
Acha hizo wewe Rais yuko Ethiopia Waziri Mkuu hana madaraka ya kikatiba kutangaza wakuu wa wilaya.

Wapi chanzo cha taarifa yako?......Udaku street!!!!!!!!!!!

Inasomeka pia kwenye mtandao wa mwananchi kama ifuatavyo:

[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]Wakuu wa wilaya wapya kutangazwa leo [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]Wednesday, 09 May 2012 13:54 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]

Waziri Mkuu anatarajiwa kutangaza orodha mpya ya wakuu wa wilaya wakati wowote kuanzia sasa [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Ngeleja - Karagwe
Kibonde wa Clouds - Mafia au Tandahimba
Chami - Liwale
Mkulo - Kasulu
 
mkuu wa wilaya analipwa kiasi gani? nataka nijue ili ka mshiko umetulia na mi nianze kujinadi
 
The cabinet change, does it mean it has a downward effect?
 
Mkuu wa wilaya analipwa kiasi gani? Nataka nijue ili ka mshiko umetulia na mi nianze kujinadi
mtotowamjini,
Mara ya mwisho nakumbuka ilikuwa 2009 walikuwa wanalipwa sawa na Mbunge. Sijui kwa sasa hivi!


TUMBIRI wa JF,
P.O BOX - PM JF.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom