baraka boki
Senior Member
- Sep 20, 2010
- 181
- 80
kwa wale tuliokuwa jangwani juzi ule wimbo wa vua gamba vaa gwanda nitaupataje.kwa anayejua anielekeze mahali pa kuupata huo wimbo
Sasa hivi uko hewani katika redio za hapa Mtwara. Kama unaweza tune-in Info Radio Mtwara, makamanda wako ndani ya nyumba wanatupa vitu live. Radio zote Mtwara ziko full blast at 92.1 FM Info Radio Mt. Town. KARIBU SANA...!kwa wale tuliokuwa jangwani juzi ule wimbo wa vua gamba vaa gwanda nitaupataje.kwa anayejua anielekeze mahali pa kuupata huo wimbo