CHADEMA na KUNFA YAKUN | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA na KUNFA YAKUN

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wimbi la mbele, May 27, 2012.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Baada ya Mnyika kushinda kesi mmoja ya mashabiki wa GWANDA alibeba bango limeandikwa KUNFA YAKUNA na chini kwa kiarabu

  inamaana CDM tayari washaingia kwa waislam na kuwachota au?

  Kama kweli bas Gamba kazi wanayo kwani inaonekana kuwa CCM haiwezi kuendelea kujiamnisha kuwa itapata kura za waislam kirahisi rahisi
   
 2. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  KWANI LINI CHADEMA kilikuwa ni chama cha wakristo peke yao? acha uzushi
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yale yale upuuzi mtupu
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kilikuwa?
   
 5. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Uzushi tu.
   
 6. J

  JokaKuu Platinum Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,805
  Likes Received: 5,111
  Trophy Points: 280
  Hans,

  ..unaweza kutupatia tafsiri ya kiswahili ya maneno hayo?
   
 7. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  .

  Mkuu JokaKuu ngoja nielezee alichokisema huyu HANS ROGER DIBAGULA .


  Kun faya koon
  ... Be and it is.


  Its an Arabic term mentioned in Quran which means When God Almighty intends some work to be done.. He just say Kun/"Be" and It is done already

  Kwa hiyo kama Mungu akisema Kun (Kuwa) basi kila kitu kinakuwa ... akisema upate basi utapata ... akisema na iwe hivyo basi itakuwa hivyo

  Pia katika Uumbaji alisema Kun (Iwe) dunia na Ikawa ... Ni nani mwenye uwezo wa kupingana na Kauli/uwezo wa Mungu?

  'When He decrees a thing, He says to it only: "Be!" And it is.'


  And it seems that as per the holy book that is how this world was created, instantly, with the phrase Kun Fayakun.

  Ingawa kimaandishi huwa inatofautiana ... wengine wakiandika Kun Faya Kun ... Koon Faya Koon ... Kun Fayakun

  Lakini ndio maaana yake kuwa Alipangalo Mola ... Hakuna atakayelipangua ... akisema KUN (Iwe) .. basi itakuwa

  Hiyo ndio maana yake Mkuu.

  .
   
 8. f

  fered mbataa JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 240
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana bro
   
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  yaani mimi jamani nikisikia mtu anashindwa kujenga hoja anaanza kutapika udini huwa naumwa kabisa
   
 10. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,025
  Likes Received: 1,394
  Trophy Points: 280
  Safi Sana


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 11. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  .
  Karibu fered mbataa hii JF ... tunaelimishana ... na kupeana taarifa

  .
   
 12. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Ndo maana Yesu ni 'neno' lake ! Allah SWT:
  ''(Maryamu akauliza): Mola wangu ! Nitapataje mtoto, hali mwanaume hakunigusa !? Akasema(Allah): Ndivyo vivyo hivyo; Mwenyezi Mungu huumba anavyopenda anapohukumu jambo, huliambia 'Kuwa' (basi) 'Likawa' ! Q:3:47.
   
Loading...