Mapungufu yaliyokusudiwa ya sheria ya mchakato wa katiba mpya UNAVYOANZA KUVUNJA AMANI. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapungufu yaliyokusudiwa ya sheria ya mchakato wa katiba mpya UNAVYOANZA KUVUNJA AMANI.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by William Mshumbusi, May 28, 2012.

 1. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  CHADEMA walizomewa na kutukanwa walivyotoka kuipinga lasim ya katiba ambayo haikutoa uhuru wa kujadili uwepo wa muungano.

  NA vurugu zikiachwa hivi Zanzibar tutegemee haya swala la mahakama ya kadhi.

  Hawa watu wanaamini viongozi wa nchi ni dini yao hivyo watawalinda. Yani maraisi na makamu wote Muungano na Zanzibar na waziri wa ulinzi na mambo ya ndani.

  MUUNGANO UJADILIWE KWENYE KATIBA MPYA KAMA KWELI WAZANZIBARI WENGI HAWATAUTAKA BASI UVUNJWE KWANI NI KWA MANUFAA YA NANI?
   
 2. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,286
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kuchanganya siasa na dini ni kitu kibaya sana, hao wanaochanganya muungano na udini ni viwete na machizi wakubwa wa mawazo na bongo zao!!!
  Kweli bila shaka muungano ujadiliwe na kama ikshindikana kuelewana uvunjike tu, haya mambo ya kuchoma makanisa yanakeraa sana!
   
Loading...