Wakulima na wafugaiji wataendelea kuwa maadui isipochukuliwa hatua

nyamvemve

Member
May 27, 2012
13
0
Haya mapigano yanayoendelea nchini ni hatari kwa vizazi vijavyo,viongozi husika hawaoni wafugaji na wakulima huko pwani walivyo na mvurugano?wafugaji wamekuwa wakimbizi nchini mwao na hivi sasa wanaishi kwa kuwindwa,hivi kweli wafugaji wote wakigoma kuuza mifugo yao mtaagiza toka nje ya nchi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom