Vua Gamba Vaa Gwanda Yapata Dhoruba Lindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vua Gamba Vaa Gwanda Yapata Dhoruba Lindi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, May 28, 2012.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,849
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Nikitinga mitaa ya Mtanda, Jamhuri, Mitwelo, Kariakoo, Mikumbi, Mpilipili, Sabasaba; Manispaa ya Lindi imepambwa na bendera za CCM kukiwa na uchache wa bendera za Chadema. Wananchi wa Lindi wamesikika wakinena hawatadanganyika na kujiunga na chama cha Kaskazini, wao sio watu wa kufanywa wa mwisho. Hawatafanya kosa kuiacha CCM iliyoiunua maisha ya Lindi kuipitia sera nzuri mfano ujenzi wa barabara na mashule ya kumwaga.
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,802
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Haaaaa
  CDM haina sera za kusaidia cc wamachinga..... Kwan walituchefua na kutudharau miaka mingi!!!! With wrong belief eti tunakula watu!!!

  Kwa hiyo swali langu ni lilelile , tangu lini mmakonde amuoe mchaga!!!???

  CCM hawana jipya... Tulidhan CUF ingetuokoa kumbe ni Zanzibar tuuuuu

  Nadhan watu wa kusini tuanzishe chama chetu ndio suluhisho!!!!!
   
 3. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,285
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mtoa maada si zani kama yuko Huko, make now day magamba wameingiwa na hofu sana make hiyo mikoa ndo huwa wanapita bila kupingwa, si ndo kwa kina membe huko?
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  hivi LINDI iko kwenye orodha ya mikoa ILIYOENDELEA au MASKINI?
   
 5. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 695
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Eti mashule ya kumwaga!? Acha kukebehi watu wa lindi wewe!!
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Wananchi wa Lindi wanahitaji ukombozi wa fikra kwanza kabla ya mambo mengine. CDM wanayo kazi kuwaelimisha, ukizingatia mtaji wa ccm ni wajinga.
   
 7. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,645
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na hata jangwani mlisema hivihivi
   
 8. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Roma haikujengwa kwa siku moja tuu. Na lindi hatutapadharau bali tutaendelea kuwaelimisha na kuwahamashisha mpaka kieleweke ccm ipende isipende tayari imeshapoteza mvuto lindi.
   
 9. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 941
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mitaa yote uliyo itaja ipo Lindi mjini na jimbo lipo mikononi mwa cuf,sasa bendera za ccm zimetoka wapi? ungesema mji umetanda bendera za cuf ningekuelewa ACHA UZUSHI
   
 10. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  naona mnakumbukia enzi za kushika hatamu.
  giz lilishaondoka na pambazuko jipya limeonekana.
   
 11. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 673
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kichaa hajui kama kichaa,mpaka uponyaji
   
 12. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nawapenda sana watu kama wewe hii kwani mnatusaidia sana kujua kuwa bado magamba yapo na tusilale it is better mkaongzeka humu jamvini ili mtupe kazi ya kufanya na hatimaye kuwakomboa wote kifikra
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Haya mtoto mzuri kazi nzuri,nenda kamuone kaka NAPE akupe hela ya Chai, SUBIRINI TU KIVUMBI CHA HUKO AFU NDO MRUDI HAPA JAMVINI
   
 14. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 8,549
  Likes Received: 2,164
  Trophy Points: 280
  Mafilili ni sawa na Shibuda ni wa kupuuzwa tu.
   
 15. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 5,080
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Duh, kumbe? nilijua ni typing error...:bange:
   
 16. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,106
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  unasemaje mkuu..!!!!!
  sikusikiiiiiiiii
   
 17. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mpuuzi hujui unachokiandika. Baba yenu Che-Nkapa kaoa mtu wa kabila gani!
   
 18. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  jangwani mlisema hiv hiv matokeo yake magamba yalipoteana ghafla
   
 19. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe unaongelea sehemu kuna japo bendera? Embu warudishie majibu kuwa Igunga haikuwa hata moja na sasa ukienda zimemea kama uyoga. kwataarifa yako wewe na wenzio muelewe hata huko Kaskazini kulikuwa na bendera za CCM na tukaingia. Tatizo la kutangaza matokeo hata mechi haijaanza huwa linaashiria woga na woga ukiukubali utashindwa kumkabili adui yako, nakushauri kajipange ujipropagandishe upya.
   
 20. h

  hans79 JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Uthibitisho ni jambo bora,kama huna vitendea kazi kaa kimya. Weka picha tuone,mfano ile sunami ya jangwani jmosi mimi uthibitisho ninao picha.Hasa sehemu inayosema wezi wapo wengi, kamata wezi men. Juzi watendaji wenu wamefungiwa milango hilo hulioni! Unaingia jf kuandika uzushi utakusaidia nn? Lindi na Mtwara mikutani inaanza leo tusubiri, yaelekea mmechanganyikiwa hasa baada ya wananchi kujua haki zao.
   
Loading...