Kwanini Gwanda lisiwe Vazi la Taifa

suranne

Senior Member
Aug 12, 2010
120
246
Nafikiri tusiendelee kutumia pesa na muda mwingi kutafuta Vazi la Taifa wakati kuna vazi ambalo naliona lipo tofauti sana na vazi lolote ktk nchi za Kiafrica ambalo ni Gwanda. Linafaa sana kwasababu hakutakua na haja ya kushona suti zenye gharama kubwa. Naomba kuwasilisha...
 
Kwa sababu utaifa hauna chama. Gwanda lina wakilisha chama fulani wakati vazi la taifa lina takiwa liwakilishe makundi yote au mengi ya jamii. Kwa hiyo gwanda haliwezi kuwa vazi la taifa kama vile ambavyo shati la njano na kijani haliwezi kuwa vazi la kitaifa.
 
Hii inazidi kuonyesha jinsi baadhi ya Wana'chadema walivyo na akili finyu kama ilivyo kwa baadhi ya wabunge wao,eti gwanda lipo tofauti na vazi lolote katika nchi za ki'africa,yaani hata hujui kama vazi hilo linafanana na yale mavazi ya Wana'mgambo wa LR Army wanaongozwa na Rebel Kony na Boko Haram,yaani vazi linaloshabihiana na mavazi ya "Boko Haram" ndo unapendekeza liwe vazi la Taifa,are U serious?
 
Gwanda haliwezi kuwa fazi la taifa kwa sababu itakuwa ni vigumu sana kutofautisha na vazi la askari Mgambo
 
Nafikiri tusiendelee kutumia pesa na muda mwingi kutafuta Vazi la Taifa wakati kuna vazi ambalo naliona lipo tofauti sana na vazi lolote ktk nchi za Kiafrica ambalo ni Gwanda. Linafaa sana kwasababu hakutakua na haja ya kushona suti zenye gharama kubwa. Naomba kuwasilisha...

limekaaa kikomunist zaidi... halifai
 
Usikurupuke na mawazo yako haba kuhusu vazi la Taifa.
.Hivi unaweza kufanya magwanda kuwa vazi la kuheshimia kitaifa wakati vazi linalofanana na vazi la mgambo wa Jiji.
 
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.Jamii Forum being the home of great thinkers why did you resorted joining it while you know ur not good upstairs-narrow minded.
 
Nafikiri tusiendelee kutumia pesa na muda mwingi kutafuta Vazi la Taifa wakati kuna vazi ambalo naliona lipo tofauti sana na vazi lolote ktk nchi za Kiafrica ambalo ni Gwanda. Linafaa sana kwasababu hakutakua na haja ya kushona suti zenye gharama kubwa. Naomba kuwasilisha...

Naunga mkono na mguu pia. Wazo zuri sana japo litawaudhi wengi wanaoona gere kama Anselm
 
wakati mwingine mbowe akivaa gwanda anaonekana kama mgambo

Na ndio nia yetu hasa, au wewe ulitaka Kamanda Mbowe aonekane kama nani, shoshti?

Mmekazana mgambo mgambo, NDIO. Tukiwa wote kama wangambo ndio rasilimali zetu hazitaibiwa. Sasa kwa kuwa mmekuwa wakaidi, nitaweka amri moja MURUA kabisa:

Sisi makamanda tutavaa GWANDA na nyie msiotaka kuonekana kama mgambo mtavaa khanga ili muendelee na umbea wenu vibarazani kuwa kuwa mgambo ni aibu. Kudadadeki zenu, hapa inayotuchelewesha ni katiba tu
 
Hii inazidi kuonyesha jinsi baadhi ya Wana'chadema walivyo na akili finyu kama ilivyo kwa baadhi ya wabunge wao,eti gwanda lipo tofauti na vazi lolote katika nchi za ki'africa,yaani hata hujui kama vazi hilo linafanana na yale mavazi ya Wana'mgambo wa LR Army wanaongozwa na Rebel Kony na Boko Haram,yaani vazi linaloshabihiana na mavazi ya "Boko Haram" ndo unapendekeza liwe vazi la Taifa,are U serious?

Haya mamie mwali, weye ungependa tuvae nini eti?
 
Na ndio nia yetu hasa, au wewe ulitaka Kamanda Mbowe aonekane kama nani, shoshti?

Mmekazana mgambo mgambo, NDIO. Tukiwa wote kama wangambo ndio rasilimali zetu hazitaibiwa. Sasa kwa kuwa mmekuwa wakaidi, nitaweka amri moja MURUA kabisa:

Sisi makamanda tutavaa GWANDA na nyie msiotaka kuonekana kama mgambo mtavaa khanga ili muendelee na umbea wenu vibarazani kuwa kuwa mgambo ni aibu. Kudadadeki zenu, hapa inayotuchelewesha ni katiba tu

Kamanda wangu wasikutishe hawa hawana lolote. We subiri 2015 ndo watachagua kuvaa kanga ama gwanda.
 
Hilo nalo neeno!

Eti kweli lakini tukiacha utani, inakuwaje wanaume wenzetu wanaogopa kuvaa nguo ngumu, hii nchi imepatwa na nini mswalieni mtume wajawini!!

Haya, 2015 kazi kwenu:

CDM = Gwanda

CCM = Kanga moja ndembe'ndembe
 
Ngwanda ni vazi la kujikomboa kutoka mikononi mwa wezi/walafi.... vazi la kishujaa.... vazi la kitaifa linapaswa liendane na uasili wa mtanzania. like kanik hivi...
 
Back
Top Bottom