CCM wahofia kubwagwa

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Ni hapa Sikonge,kata ya Sikonge,kijiji cha Mkolye,kitongoji cha Kitimbasha ambako mtendaji wa kijiji aitwaye Gembe na kwa sasa kapelekwa Pangale alipoamua kuutoa uenyekiti wa kitongoji sadaka kwa mama aitwaye Moshi Maulid kufuatia aliyekuwepo awali Binti Mwinyi kujiuzulu pasipo kuitisha uchaguzi upya

Kilichofanyika ni huyu aliyewekwa kihuni kukaimu nafasi hiyo huku akilazimika kutumia jina la aliyejiuzulu ili kuficha habari

Hili tukio limetokea 2011 kwa siri kubwa na hatimaye siri tumeipata na kwa sasa tunaandaa mazingira ya kufungua kesi dhidi ya ukiukwaji wa sheria na taratibu za uchaguzi hapa Tz

Ndo hayo wakuu.
 
Back
Top Bottom