Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Viongozi acheni tabia hii Na Happiness Katabazi BABA wa taifa aliwahi kusema ‘ukweli una tabia moja nzuri sana kwani auchagui rafiki wala adui’. Na kwa mara nyingine leo nalazimika kutumia nukuu...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Kwa kweli polisi wa ZANZIBAR walikuwa wanatafuta sababu ya kusuguwana na UAMSHO. Sababu uamsho waliambiwa wasiende lumumba kufanya mkutano ili uamsho wakaidi agizo hili halafu waseme hawa UAMSHO...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeona picha ambayo January Makamba (MB,Bumbuli) alisambaza katika mitandao ya kijamii kama facebook page yake ikiwa na kichwa cha habari; "weekend work at Bumbuli Development Corporation in Dar"...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu mpaka leo sijaona chama ambacho kimetoa watu wenye msimamo na umoja kama CHADEMA, kuna vyama vipo tena vingi ila havisikiki, hata hakukwepo viongozi mmoja mmoja wa vyama vingine ambao...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii ni kutokana na ujamaa na kujitegemea hautumiki tena
0 Reactions
0 Replies
1K Views
GAVANA wa Benki Kuu (BoT), Profesa Benno Ndullu amekana matumizi ya kifisadi ya Sh. 760 bilioni kwa mwaka mmoja katika safari za ndani na nje ya nchi.Taarifa zilizopatikana BoT, Hazina na ofisi...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
ki. Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI...
8 Reactions
388 Replies
31K Views
Mkuu wangu Tumaini Makene (Afisa Habari wa CHADEMA) na John Mnyika (Mkurugenzi wa Habari na uenezi) pamoja na makanda wengine ndani ya CDM mimi ni miongoni mwa wadau tuliohudhuria ule mkutano wetu...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Najua ataendelea kulalamika mpka mwezi wa 10. sasa why not have a single thread ili tuendelea kupata burudani za malalamiko yake huyu jamaa? mimi naenjoy sana kusoma malalamiko yake kila...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama ni haki udini unaingia wa nini? Kwani kuchoma makanisa kutasaidi kupatiwa ufumbuzi maswala yao?
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Maoni ya Katuni Mazingira ya kisiasa na uwezekano wa uendelezaji wa shughuli za maendeleo au uwekezaji umeingia mashakani katika maeneo kadhaa nchini, kutokana na jazba zinazoongezeka, na kuwa...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Mwenyekiti wa jukwa la katiba Deo Kibamba amesikitishwa na hali ya demokrasia kuvurugika ndani ya CCM kutokana na malumbano ambayo yameshika kasi kwenye majukwa ya kisiasa kuliko ndani ya vikao...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
leo raha tupu zenji,...polisi lainiiii...wametubania viwanja vya LUMUMBA wamebanua viwanja vya MALINDI,how nice wazanzibr heko muamsho,mpk waitoe nchi ye2 wala ngurue ao
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais Kikwete katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi, katika kuongelea tukio la machafuko huko Zanzibar, licha ya kusikitikia uchomwaji makanisa na kwamba wanauamsho wanafanya kinyume cha malengo ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Haki imekuwa ikiiuzwa ikinunuliwa. Mahakama zetu zimekuwa sehemu ya hujuma bila woga ukandamizaji na udhalilishaji. haya yanatokea na wanayoyafanya haya ni wasomi na watu wanaoheshimika sana ndani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakubwa!...,Huyu ndio waziri wangu wa sheria na katiba.Aliweza kupambana kwenye kesi yake dhid ya kupinga matokeo ya ubunge wake akiwa mwenyewe,huku akipangua kundi la mashaidi wa kununuliali.kazi...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi,; ni mkataba upi ulimpa sultani wa z'bar maili 6 kutoka mstari wa pwani? Na je; huo mpaka ndio tunaouzingatia au nivipi. Hebu nijuzeni kidogo nielewe T'nyika na Z'bar inapoishia kimipaka!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MWAKA 2012 - ARUSHA TUTAENDELEA KUWA MAJASIRI WAKUPINGA UKANDAMIZAJI POPOTE TANZANIA . GODBLESS LEMA (MB) Ninapotafakari Wema wa Mungu katika maisha yangu na Jimbo langu , ndipo ninapopatwa...
2 Reactions
62 Replies
6K Views
Heshima Kwanza! Kupevuka kisiasa ni pamoja na kuwa na uwezo wa kutafiti, kudadisi, kuhoji, kufuatilia na kushiriki kikamilifu katika maswala yote yanayohusu maisha ya kila siku. Siasa haiwahusu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…