Katika bulletin zao za saa 1 usiku jana na juzi Chanel 10 walionyesha mahojiano na baadhi ya wakazi wa Unguja (juzi) na wa kule Pemba (jana) kuhusu Muungano. Wote wa (100 %) waliohojiwa walisema...
Kitendo cha raisi JK kuagiza kuwa suala la ama muungano uwepo au usiwepo lisijadiliwe kwenye mchakato wa katiba mpya ndilo lililoamsha hamasa za majadiliano na malumbano juu ya muungano.
Kikwete...
akiongea katika kipindi cha asubuhi itv mbunge wa uzini na kada mashuhuri wa ccm mohamed raza ameongea mustakabali wa ccm na taifa kwa jumla lakini katika maongezi yake katuachia kitendawili...
Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM.
Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma...
Mods ningependa uiache mada kama ilivyo na isiunganishe na mada zingine.
Kama kawaida, ningependa kutoa salaam kwa waZalendo wenzangu. Katika mjadala huu wa katiba kuna mambo mengi...
jmwenyekiti wa CUF wilaya ya tandahimba katani Ahmed katani leo anatarajiwa kukabidhiwa kadi za chadema ambazo majuzi tu wanachama hao walijiunga na chama hicho mtwara mjini, ambapo wengi wao...
Heshima kwenu Wanabadi, Asubuhi ya leo wakati nieleke kujitafutia riziki nimekutana na hilo bandiko hapo juu katika makutano ya bara bara za jiji.
Nimeona ni Vizuri tukalijadili sababu baada ya...
Wakuu
Kuna taarifa za kuibuka kwa ugomvi na kutokuelewana baina ya waziri mpya wa habari, utamaduni na micchezo Dr Fenela Mukangara na katibu mkuu wake Seth Kamuhanda. Chanzo halisi cha kutokuwepo...
Mh wewe ni waziri ambaye umeteuliwa juzi tu, inawezekana haujui nini kinaendelea ndani ya wizara yako. Sisi kama watanzania ni muda mrefu sana tumeilalamikia serikali yetu kuwa tunahitaji ndege...
Wananchi wa jimbo la Iramba mashariki wameelezea kuchoshwa na ulaghai unaofanywa na Chama Cha Mapinduzi kupitia mbunge wao Salome D. Mwambu na wameapa kufanya mabadiliko makubwa 2015.
Katika...
Thomas Kashililah na ufisadi wa kutisha bunge
Kwa waliosoma ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh, naomba wanisaidie katika hili.
Nimewahi kulisoma katika...
Bajeti iliyopita Mh. Zitto kwa kauli yako ulitushawishi wananchi wa vijijini tusiandamane kupinga bei ya mafuta ya taa kwa madai kwamba fedha itakayopatikana itapeleka umeme vijijini, mbona...
WANAMBINGA WOTE WENYE MAPENZI MEMA NA MBINGA WAISHIO JIJINI DAR ES SALAAM MNATANGAZIWA KUWA JUMAMOSI HII (JUNE, 9, 2012)KUNA KIKAO CHA KUJADILI MSTAKABALI WA MAENDELEO YA MBINGA...
Mara kadhaa siasa za Tanzania zimekua na kukua huku badhi ya vyama vya siasa vikijipatia umaarufu na vingine umaarufu wake ukipungua na hata vingine kufa kabisa. Mimi binafsi sifurahishwi na...
NAPE UNATUPELEKA WAPI? NI HUZUNI KUDAI WANAOHAMA CCM NI SAWA NA VINYAGO!
Dalili ya maradhi ndani ya CCM ni mbaya kuliko miaka yote iliyopita. Na sasa imebainika, "Hakuna dawa yoyote ya...
Mimi ni miongoni mwa wakazi wa jimbo la karagwe-Kagera ni miongoni mwa watu wanaojirahumu kumchagua huu kijana kuwa mwakilishi wa wananchi bungeni.
Tangia aingie bungeni mimi naweza kumsifu...
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi...
Mwandishi Wetu
Toleo la 242
6 Jun 2012
TANZANIA iko katika mtihani mgumu wa kukubali maombi yaliyowasilishwa na serikali ya mpito ya Somalia ya kujenga na kuboresha taasisi za ulinzi na...