Katani kupokea wanachama waliojiunga CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katani kupokea wanachama waliojiunga CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkigoma, Jun 8, 2012.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jmwenyekiti wa CUF wilaya ya tandahimba katani Ahmed katani leo anatarajiwa kukabidhiwa kadi za chadema ambazo majuzi tu wanachama hao walijiunga na chama hicho mtwara mjini, ambapo wengi wao wanasema walikuwa hawajui chama hicho kina ubaguzi wa udini na ukabila kwa hiyo wameamua kurudi kwenye chama chao ni vijana wengi wapatao karibu 330 ambao wapo hapa ofisi ya wilaya ya CUF mtwara mjini.
   
 2. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Taarifa yako haijitosherezi,tunaomba utupe chanzo cha habari,
   
 3. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Yaonekana usiku hukupata usingizi,kweli chadema itawaua kwa presha mwaka huu,umeona bora uwe kada wa cuf kwa kuangalia upepo unakoelekea!!
   
 4. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Wamerudi CCM B? Sijui!
   
 5. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chadema wanachofanya kusini ni sawa na kupanda mbegu juu ya jiwe,
   
 6. K

  Katufu JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 433
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Hizo mtakuwa mmezitengeneza wenyewe na kuwagawia wanaCUF ili wazirudishe tu, lakini kumbukeni moto wa Chadema ni mkali kamwe hamuuwezi
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,451
  Likes Received: 5,842
  Trophy Points: 280
  Hii ni dharau kwa watu wa kusini kuwalinganisha na mawe..........hata hivyo ziko mbegu humea vizuri juu ya mawe

  na kuwa miti kabisa!


  [​IMG]
   
 8. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  huu ni muda muafaka wa CUF na CCm kushirikiana muunde kambi rasmi ya upinzani 2015
   
 9. K

  Katufu JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 433
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  CUF kweli mnatia huruma, poleni na kuolewa na CCM ndoa ikiwa ngumu ivunjeni tu
   
 10. josam

  josam JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 1,754
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  pole, hizo za kwenu za kuchakachua!
   
 11. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  vipi mnatafuta mme wa pili, mlienae hawafikishi kileleni?
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,775
  Trophy Points: 280
  Tangu nizaliwe sijawai huona mkutano ukifanyika kwenye gofu/pagala:

  [​IMG]

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 13. b

  baraka boki Senior Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Bora ukae kimya maana umeolewa na ccm  Baraka Boki (MEng, MBA from Duke University)
   
 14. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  RIP CUF....RIP Mkigoma!
   
 15. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hakuna cha jino kwa jino wala ngangari kinoma'sasa mmekuwa mdebwedo....RIP CUF!
   
Loading...