Channel Ten inatumiwa na CCM kutaka Muungano uendelee? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Channel Ten inatumiwa na CCM kutaka Muungano uendelee?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jun 8, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Katika bulletin zao za saa 1 usiku jana na juzi Chanel 10 walionyesha mahojiano na baadhi ya wakazi wa Unguja (juzi) na wa kule Pemba (jana) kuhusu Muungano. Wote wa (100 %) waliohojiwa walisema muungano una manufaa na usivunjwe.

  Jee, hii ni kweli inawakilisha mawazo ya Wanavisiwani wengi? Au Channel 10 inatumiwa na CCM?


  Ninaamini kabisa kulikuwapo waliopinga kuendelea na Muungano ambao Ch 10 haikuwaonyesha.
   
 2. B

  Baba Kimoko Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwanahabari wenye akili channel 10 ni Ulimwengu na Mwakwaiya tu.
   
 3. A

  ADK JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,167
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu kafiri ukweli wa mambo ni hivi,viongozi wote walio madarakani hawataki muungano uvunjwe. Hivyo watatumia kila njia ili hayo wanayoyataka wazanzibar yashindikane. Mfano mimi siamini kama wana uamsho ndio waliosababisha kuchomwa kwa makanisa.
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Kwenye red: nadhani uko right kabisa, na waliochoma ni Usalama wa Taifa. Soma Mwanahalisi ya juzi stori yake kuu iliyoandikwa na Jabir idrissa na makala ya mwandishi huyo huyo "Kalamu ya Jabir Idrissa" na utapata kile hasa kilichotokea.

  Hakuna kati ya wale 30 waliokamatwa na kufikishwa mahakamani (na kupewa dhamana mara moja) alishitakiwa kwa kosa la uharibifu wa mali (eg pamoja na uchomaji wa makanisa.). Wote walishitakiwa kwa kwa uzururaji.

  Hii ndiyo CCM inayosimamia amani katika nchi hii!
   
Loading...