Nape njoo utegue kitendawili cha kada mashuhuri Mohamed Raza

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
akiongea katika kipindi cha asubuhi itv mbunge wa uzini na kada mashuhuri wa ccm mohamed raza ameongea mustakabali wa ccm na taifa kwa jumla lakini katika maongezi yake katuachia kitendawili ambacho kikiteguliwa kinaweza kuwa muharobaini wa ccm.
Namnukuu;mkuu wa nchi na mwenyekiti wa chama unamteua mtu ambaye alipogombea ubunge hata kura kumi alipotoka hakupata na kwenye halmashauri kuu kutoka kwao hakuchaguliwa leo anapewa cheo kikubwa kwenye chama ili aunganishe chama?let us be serius.

Ufisadi;watu wameiba pesa za uma kagoda inafahamika na hizo pesa zipo kwenye mtandao wa mabenk hazikuibiwa kwa vikapu na bado watu wanatembea mitaani.hapo alikuwa anachangia swali aliloulizwa kuhusu kauli yako ya kesi kuchukua muda mfupi.

Naomba uje hapa ututegulie kitendawili.
 
Nimependa sana huyu Raza alivyokuwa akijenga hoja! Kuanzia muungano mpaka kwenye uchumi akipiga nyundo za utosi CCM! Nnape ni Juma KILAZA
 
Tatizo nape anajua bado tupo miaka ya 1980, kizaz cha sasa kimebadilika, unapopanda kwenye majukwa ongea point sio kubwabwaja tu. Raza anapoint na cku zote huwa anakuwa mkweli. Iga wa2 kama hao. Nape hueleweki, unakurupuka mno.
 
nilikuwa sijapata kumfaham vizuri huyu bwana..leo nimeijua rangi yake..hapendi kabisa ubabaishaji..anasema watu wameiba na wanafahamika lakini wanaachwa kwa sababu ya undugu, ukada na kujuana..anasema kuna tsunami kubwa zaidi inakuja huko mbele kama jamaa hawatajirekebisha..
 
Huyo nae ni oil chafu kwenye gari lenye vipuri vipya. Nape peke yake ndio anajiona yeye ni oil safi iliyotolewa kwenye gari la ccj na kuwekwa kwenye gari chakavu la ccm.
 
huwa hajibu maswali kama haya...na ikitokea amejibu utasikia "mbona CHADEMA ni wanaharakati.," amemaliza
 
siku hizi nape ana neno moja tu......cdm ni chama cha wanaharakati......hana jipya huyu gamba
 
Jamaa kichwa ila ccm huwa hawataki vichwa wanataka MATAILA kama LUSINDE,MAJI MAREFU,na vilaza wengine kama mkama na nape ndio waongoze chama,lakini ni advantage kwa chadema kwani nafasi ya kutumia upumbavu kujijenga
 
akiongea katika kipindi cha asubuhi itv mbunge wa uzini na kada mashuhuri wa ccm mohamed raza ameongea mustakabali wa ccm na taifa kwa jumla lakini katika maongezi yake katuachia kitendawili ambacho kikiteguliwa kinaweza kuwa muharobaini wa ccm.
Namnukuu;mkuu wa nchi na mwenyekiti wa chama unamteua mtu ambaye alipogombea ubunge hata kura kumi alipotoka hakupata na kwenye halmashauri kuu kutoka kwao hakuchaguliwa leo anapewa cheo kikubwa kwenye chama ili aunganishe chama?let us be serius.

Ufisadi;watu wameiba pesa za uma kagoda inafahamika na hizo pesa zipo kwenye mtandao wa mabenk hazikuibiwa kwa vikapu na bado watu wanatembea mitaani.hapo alikuwa anachangia swali aliloulizwa kuhusu kauli yako ya kesi kuchukua muda mfupi.

Naomba uje hapa ututegulie kitendawili.
Nnauye Jr, Jeykey, ritz, MAFILILI, Rejao msaada waungwana njooni tafadhali!
 
Last edited by a moderator:
nape kakosa kura ubungo,halmashauri hata kura 10 hakupata leo aunganishe chama,duu fadhila za baba yake moses nnauye
 
Nimependa sana huyu Raza alivyokuwa akijenga hoja! Kuanzia muungano mpaka kwenye uchumi akipiga nyundo za utosi CCM! Nnape ni Juma KILAZA

Tafadhali mpe Juma Kilaza heshima yake. Kama hukuwepo enzi zake au hukuwahi kusikia mchango wa nguli huyo katika kukuza muziki wa Tanzania basi uliza ufahamishwe. Ni bahati mbaya tu jina lake la mwisho ndio lishaharibiwa na vijana wa siku hizi. Lakini sio vyema kuwapa wababaishaji jina hilo.
 
Nape anatetea ccm cos ndio chama kilicho mfanya aishi, maana bila magmba nape ataishi vp?. Chama cha familia hicho. Nitashangaa nape akisema ccm mbaya. Ndio iliyo mlea. Hivi mnavyodhan watoto wa nape watasema ccm mbaya?. Wakati wanaona v8 ikiwapeleka beach.
 
Huyu jamaa nime mkubali anajua sana kujenga hoja na kwenye ukweli ana kubali kabisa. Yani kamfunda nape hadharani kabisa. Jamaa ni jembe. Kweli raza bonge la bwana, yan kumbe nape ni oil chafu hivi.
 
Jamaa kichwa ila ccm huwa hawataki vichwa wanataka MATAILA kama LUSINDE,MAJI MAREFU,na vilaza wengine kama mkama na nape ndio waongoze chama,lakini ni advantage kwa chadema kwani nafasi ya kutumia upumbavu kujijenga
Umejuaje? Hivi chama ukamkabizi nape masihala haya apambane na akina mnyika, lema, zitto, wenje, nk. Huu ni utni kabisa.
 
akiongea katika kipindi cha asubuhi itv mbunge wa uzini na kada mashuhuri wa ccm mohamed raza ameongea mustakabali wa ccm na taifa kwa jumla lakini katika maongezi yake katuachia kitendawili ambacho kikiteguliwa kinaweza kuwa muharobaini wa ccm.
Namnukuu;mkuu wa nchi na mwenyekiti wa chama unamteua mtu ambaye alipogombea ubunge hata kura kumi alipotoka hakupata na kwenye halmashauri kuu kutoka kwao hakuchaguliwa leo anapewa cheo kikubwa kwenye chama ili aunganishe chama?let us be serius.

Ufisadi;watu wameiba pesa za uma kagoda inafahamika na hizo pesa zipo kwenye mtandao wa mabenk hazikuibiwa kwa vikapu na bado watu wanatembea mitaani.hapo alikuwa anachangia swali aliloulizwa kuhusu kauli yako ya kesi kuchukua muda mfupi.

Naomba uje hapa ututegulie kitendawili.
Nape Yuko Buse anaandaa mkutano wa Jangwani Kesho.Haji Goo! kukujibu
 
Back
Top Bottom