Karagwe jimbo lilotengwa, Mh Mbunge Blandesi Kahuku.

Vunjavunja

Member
May 18, 2012
92
11
Mimi ni miongoni mwa wakazi wa jimbo la karagwe-Kagera ni miongoni mwa watu wanaojirahumu kumchagua huu kijana kuwa mwakilishi wa wananchi bungeni.

Tangia aingie bungeni mimi naweza kumsifu kuwa miongoni mwa kamati iliyotuandalia mswahada wa katiba mubovu. Nikijana aliyekuwa na sera nzuri mwaka 2005 za kuendeleza maendeleo ya karagwe hasa katika maeneo haya

1. Kusambaza umeme vijijini mf kuanzia Nyakaanga hadi Ihembe na vijiji jirani kata za rugu na Nyakasimbi

2. Kuwa hatahakikisha barabara ya kutoka kyeka hadi Omurushaka inajengwa kwa kiwango cha lami hadi sasa mbunge wa jimbo hili hakuna sela yake aliyoitekeleza hivyo akitarifu chama chake cha magamba (CCM) hakitapata mbunge mwingine kupitia CCM. CHADEMA wamejipanga vya kutosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom