Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwalimu Nyerere alitabiri kuwa ili chama hiki kiweze kuanguka ni lazima kitagawanyika. Mkutano wa juzi umedhihirisha hilo; kwanza hata wale waliobebwa kuja mkutanoni, walikuja kwa imani juu ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF nashindwa kuelewa kati CCM na CHADEMA chama cha upizani ni kipi? Kwa elewa wangu Chama tawala lazima kiwe na sera na mipango kazi jinsi ya kuitekeleza. Kwa sasa Sera zinatoka CHADEMA...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Corporate Social Responsibility (CSR) I limekuwa ni jambo la kawaida sana kwa makampuni ili kulipa fadhila kwa wananchi baada ya kutengeneza faida, hata kama ni kidogo lkn tumeshuhudia vodacom...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
By CHADEMA TAARIFA: Heshima ya mwisho kwa mpendwa wetu Bob N. Makani zitatolewa kesho; Juni 11, 2012 kuanzia saa 6 mchana, Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam UDATES: Kwa mjibu wa...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
ni mapema ila ni vema tuanze kuwaza kua ni nani atasimama kuiwakilsha chadema kat ya slaa,mbowe na zitto!niambieni!
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Jana CCM mlieenda Jangwani na nyie mkatoa yenu. Sii siri move hii ililenga kujibu mapigo ya Chadema ambao walitinga hapo Jangwani na M4C. Wanavyosema wajuzi wa kabumbu wanasema katika...
7 Reactions
41 Replies
5K Views
WanaJF, kwenye gazeti la Guardian la jana Mh. January Makamba aliandika makala yake ya kujitetea dhidi ya mtazamo wa mwandishi wa habari aliyesema si vizuri kwa yeye kuingilia TCRA. Katika...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Katika kipindi hiki ambacho tunapambana na changamoto kubwa kisiasa,tunahitaji kuwa na watu makini wenye ushawishi na uwezo wa kujenga hoja, na zaidi ni kuwa na uwezo wa kutumia kila fursa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wadau tujumuike, usikose live updates! Je atamjibu Wassira kwa kauli ya dharau pale chadema square!
0 Reactions
28 Replies
2K Views
POLENI WANACHADEMA na watanzania wote kwa kumpoteza Mzee Bob Makani. Naamini kifo chake kimeacha chachu itakayowaamsha wapenda mabadiliko wote na hasa vijana kutoka katika usingizi na naamini pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama alivyowahi kusema mwalimu mmoja kwa kuwaambia wanafunzi wake kwamba ukweli utawakomboa. Basi leo hii na mimi Ismail Mesaya nawaambia MIJADALA na MALUMBANO ya mawazo miongoni mwa wasomi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
https://www.facebook.com/#!/chademadiaspora
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu zangu kwa hali iliyopo ccm ya kujibu mapigo ya upinzani ni dhahiri sasa kuwa kile kilio cha kuwa na baraza dogo la mawaziri sasa linawezekana. kwa nini nasema hivyo ni hali iliyojitikeza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hili swali huwa najiuliza kila siku,hivi ni kweli ni jumuia ya wanawake tanzania? Kwa nini uvccm haikitwa uvt? Je ni kwli sophia simba anawakilisha wanawake wote?ma ni lini atawatembelea baraza la...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Closed
Tumekuwa na kawaida ya kulaumu tu bila kuangalia sheria ambazo huongozwa na sheriamama ambayo ni katiba ya nchi. Katiba ya nchi haikatazi ushoga, bali inakazia haki za msingi za uhuru wa kila...
0 Reactions
76 Replies
9K Views
hatimaye ccm kimeamua kupita kusawazisha nyayo za chama cha ukombozi ( kama ilivyo kawaida yao tangu wawe maji ya shingo). kuna msemo usemao "deal with your character, not reputation"...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Inaonesha jinsi gani ccm walivyofilisika kisiasa, kitendo cha kukodi mabasi na malori kutokea kibaha na kisarawe kwa garama nyingine za kuwalipa wajumbe wa nyumba kumikumi ni tosha kuwa sasa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
..Wakati vyama vya upinzani(haswa CDM)wakipambana kuleta mabadiliko ya kifikra kwa watanzania kujua haki zao za msingi dhidi ya watawala wao...wao chama tawala CCM wanaonekana kwa kasi hiyo hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Nimefika msibani kwa Bob Makani, Mbezi Beach jioni hii. Nimekuta sura nyingi za huzuni pamoja na ndugu na jamaa walio katika majonzi. Natambua kuawa Mzee Bob Makani alikuwa mmoja wa waasisi wa...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
naamini wote bila kujali itikadi zetu za vyama vya siasa tumepokea kwa majonzi(japo yanatofautiana) msiba wa mzee wetu bob makani. Kwa vijana wengi wa umri wangu,bob makani tulimwona kwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…