Slaa, Mbowe au Zitto kuiwakilisha chadema 2015?

zam's son

Member
Jun 5, 2012
72
37
ni mapema ila ni vema tuanze kuwaza kua ni nani atasimama kuiwakilsha chadema kat ya slaa,mbowe na zitto!niambieni!
 
Magamba at work! Pili pili usoila yakuwashani? Muda mwafaka ukifika atajulikana atakayepeperusha bendera ya Chadema. Uwe mpole na subira, taratibu na itifaki itazingatiwa!
 
Cdm wana msiba wa muasisi na m/kiti mstaafu halafu wewe unazungumzia nani atakuwja mgombea urais. Hivi kama ni Zitto halafu akafa kesho!? Kuwa na subira Mama!
 
Mwenyewe umeshasema ni mapema mno halafu hapo hapo unataka uambiwe ni nani kati ya uliowataja atashika bendera ya Chadema. Ni mapema mno. Vuta subira.
 
ni mapema ila ni vema tuanze kuwaza kua ni nani atasimama kuiwakilsha chadema kat ya slaa,mbowe na zitto!niambieni!

SLAA-umri ni tatizo, shule yake ni ya kuongoza kundi lenye imani fulani si wananchi wa taifa fulani, mbinafsi sana ndani ya Chama, dikteta, ana makundi ndani ya Chama , MBOWE-shule ndogo, mbinafsi, Biashara zitamkwaza, ana makundi ndani ya Chama. Zitto si mbinafsi, ana shule ya kutosha, hana makundi ndani ya chama, ni kijana. Mkuu nadhani unaweza kujua sasa nani anafaa kati hao Magwanda watatu
 
Unaumwa wewe
 
Zito Kabwe~ Muha, Muislamu. Hii itaondoa dhana ya udini na ukabila.
 
Zito Kabwe~ Muha, Muislamu. Hii itaondoa dhana ya udini na ukabila.

Mkuu Nduka, unataka kuniambia dhana ya udini na ukabila inaondoka pale mtu anapokuwa muha na muislamu? Sijakupata kabisa hapo!
 
Mgombea urais kwa sasa sio issue kikubwa ni namna gani ya kumkomboa mtanzania kutoka matatizo mbalimbali ukiwepo umaskini uliotopea! CHADEMA ni chama cha demokrasia hivo mgombea wa urais atapatikana kwa njia za kura ndani ya vikao husika! hivo kuanza kutaja majina hapa ni kupoteza muda tu kwani hata shibuda akishinda kwenye kura nyingi za wajumbe basi atapeperusha bendera ya CDM! tufikirie zaidi matatizo yetu ya taifa na approach ya kuyatatua tukishapata majawabu ndio tujiulize nani anaweza kupewa jukumu hilo! tusiwe kama ccm waliochagua kwa kuangalia majina matokeo yake rais anaulizwa kwa nini nchi yako maskini wakati rasimali zipo akajibu sijui! kwa sababu watu walikimbilia majina bila kuangalia matatizo yaliyopo na namna ya kutatua na mwisho nani apewe jukumu !!
 
Zito Kabwe~ Muha, Muislamu. Hii itaondoa dhana ya udini na ukabila.

Hatutakubali kuongozwa na Muislamu, zamu hii ni ya m~ Vatcan aloo. Au hujui utaratibu wa Urais hapa Tanzania? kama hujui, urais ni wa kupokezana kati ya mkatoliki na Muislamu.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Mzee Mtei hataki kusikia Slaa anagomea tena, sijui anashinikiza Mkwe arudi tena alipobbwagwa vibaya sana, lakini anajuwa kuwa Watanzania hawawezi kumchaguwa muuza pombe. Zitto kishatangaza kuwa na nia ya kugombea Urais, Shibuda nae kisha weka nia.

Lema ndio hivyo, shule alipiga chenga. Lussu hana mshiko, katoka Iramba. Usishangae CHADEMA kwa mara ya kwanza wakamsimamisha Leticia "Nyerere" wa Maryland,
 
kaka naona kama umedadndia gari kwa mbele watu bado tuko msibani weye waongelea URAIS?? au ndo mnafikiri sie huwa tuna makundi ya kuwania urais 2015 kama nyie huko MAGAMBANI?? njoo kivingine sio kitoto kama hivi
 
Mzee Mtei hataki kusikia Slaa anagomea tena, sijui anashinikiza Mkwe arudi tena alipobbwagwa vibaya sana, lakini anajuwa kuwa Watanzania hawawezi kumchaguwa muuza pombe. Zitto kishatangaza kuwa na nia ya kugombea Urais, Shibuda nae kisha weka nia.

Lema ndio hivyo, shule alipiga chenga. Lussu hana mshiko, katoka Iramba. Usishangae CHADEMA kwa mara ya kwanza wakamsimamisha Leticia "Nyerere" wa Maryland,

Lile Dume lenu Mwamba wa Kaskazini Lowassa ndio ana warm up kwaajili ya kuchukua form huko CCM ole wenu mjaribu kumpinga cha moto mtakiona
 
Hatutakubali kuongozwa na Muislamu, zamu hii ni ya m~ Vatcan aloo. Au hujui utaratibu wa Urais hapa Tanzania? kama hujui, urais ni wa kupokezana kati ya mkatoliki na Muislamu.
The unseen is illustrated by the seen.
Sasa hivi ni Zamu ya Kaskazini kupitia Lowassa hilo halina ubishi lasivyo CCM tutaisahau kwenye medani za siasa
 
Zito Kabwe~ Muha, Muislamu. Hii itaondoa dhana ya udini na ukabila.

Mkuu Piga uwa Lowassa Ndani ya CCM anachukua form acheni unafiki wenu wakumsingizia Ufisadi na ile story yenu yakuwa alimuwekea mwakyembe sumu thibitisheni si mliona Dr Harrison alivyo waruka?
 
Back
Top Bottom