Kwa nini UWT bado inaitwa jumuia ya wanawake Tanzania?

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
Hili swali huwa najiuliza kila siku,hivi ni kweli ni jumuia ya wanawake tanzania?
Kwa nini uvccm haikitwa uvt?
Je ni kwli sophia simba anawakilisha wanawake wote?ma ni lini atawatembelea baraza la wanawake wa chadema kwa sababu kimantiki watakuwa chini yake kwa sababu yeye ni wa taifa na hao ni wa chadema na ni lini ccm itakuwa na baraza lake?

Nawakilisha.
 
Back
Top Bottom