Tunaomba profile/wasifu wa bob makani tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaomba profile/wasifu wa bob makani tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Seif al Islam, Jun 10, 2012.

 1. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  naamini wote bila kujali itikadi zetu za vyama vya siasa tumepokea kwa majonzi(japo yanatofautiana) msiba wa mzee wetu bob makani. Kwa vijana wengi wa umri wangu,bob makani tulimwona kwenye uzinduzi wa kampeni za cdm pale jangwani na ukituuliza zaidi hatuna maelezo yoyote ya msingi tunayoweza kuyatoa kuhusu yeye japo tumepania kwenda msibani.ni vyema na haki kwa yeyote mwenye kuufahamu wasifu wa bob makani akauweka wazi hapa jamvini utusaidie kumwelewa huyu mzee ili hata kwa wale watakaotangaza kumuenzi makani tujue wanaenzi nini hasa kwa huyu mzee.
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Huyu ni katibu mkuu wa kwanza kabisa wa chama cha demokrasia na maendeleo. Pia ni m/kiti wa pili wa chama. Ni msomi na mwanasheria mkongwe! Wengine wataongeza!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Rip Bob makani.
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  mbona kuna jukwaa la hii mambo. Hapa ni wasifu wa mh.
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Bob Makani alikuwa ni Deputy Gavana wa BOT, Muhasisi wa Chadema, katibu mkuu wa Chadema, Mwenyekiti wa Chadema na Mwanasheria wa kujitegemea.
  Na mimi ningeomba anayefahamu vizuri Familia ya Bob Makani atujuze Uislamu wa Bob Makani ukoje maana naona watoto wana majina ya Roma.
  Tahadhari nimeuliza tu imani ya Bob na hapa pasigeuzwe sehemu ya mihadhara ya kidini.
   
Loading...