January Makamba ajifananisha na Sokoine na Mrema, anafanana nao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

January Makamba ajifananisha na Sokoine na Mrema, anafanana nao?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpitagwa, Jun 4, 2012.

 1. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,296
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  WanaJF, kwenye gazeti la Guardian la jana Mh. January Makamba aliandika makala yake ya kujitetea dhidi ya mtazamo wa mwandishi wa habari aliyesema si vizuri kwa yeye kuingilia TCRA.

  Katika kuhitimisha makala yake akajiweka kundi moja na Hayati Moringe Sokoine na Mh. Mrema katika utendaji wao serikalini.

  Swali ni je anafanana na watu hao kiutendaji au ndoo yale ya kutaka kujua watu wanamfikiriaje yeye?
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kama angekuwa anafanana nao angesaini ile Petition ya Zitto lakini kilichomfanya asi sign ameshakipata
   
 3. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Hana lolote huyu na hawezi kamwe kujilinganisha na hayati EMS
   
 4. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mi namfananisha na Seif Ghadafi, mtoto wa hayati Ghadafi.
   
 5. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wapiga Kura wake wanamjua zaidi!, lakini kwa upande wangu naona yupo tofauti sana na wachumia tumbo wengi wa ccm!!!!.
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,821
  Trophy Points: 280
  Anafanana na yusufu makamba.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,620
  Trophy Points: 280
  anafanana na baba yake ama na kina kihiyo
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mchumia Tumbo!!!!
   
 9. b

  beseni Member

  #9
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  jmakamba acha kutafuta umaarufu usio na tija huwez kufanana na sokoine koz uadilifu na uzalendo wa hivyo ww huna.
   
 10. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Anafanana na william Mubosi..le mutuz rais ya wa....pi vile? Wakuu malizieni
   
 11. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni lugha au? maana katika makala Jozeni ndie aliye suggest "...Edward Moringe Sokoine, the MP for Vunjo, A. L. Mrema and January Makamba are cut from the same cloth"

  Hili la kuwa January kajifananisha...nadhani tusome mambo kama yalivyo!
   
 12. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,296
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Binafsi namlheshimu kuwa ni kijana mwenye uwezo, lakini kupita kwake ubunge bila kupingwa na malalamiko ya mzee Shelukindo juu ya mbinu chafu alizotumia wakati wa mchakato ndani ya chama na kumfanya shelukindo aachie ngazi sio sifa za hayati Sokoine wala Mrema pale vunjo. Na hata muda aliofanyakazi serikalini ni mdogo sana kuanza kujifanananisha na wao
   
 13. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #13
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha!! nilimuona over the weekend Killi concert..oooh sinywi pombe mbn alikua anagonga kili? umenchekesha dah!
   
 14. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Naungana na wewe sana, yuko tofauti sana na walafi wa CCM. Ni vizuri kuwa wakweli kwa huyu kijana.
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Hajamaliza hata mwezi kama Waziri tayari anajifananisha na Sokoine? Hivi Sokoine ana dada mwenye hekalu?
   
 16. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  January anafanana sana na Babake kitabia. Amekaa kimajisifusifu tu, anapenda madaraka kuliko maelezo. Ni mchumia tumbo tu huyo.
   
 17. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Jamani ndo kwanza anaanza kazi ya uwaziri, vipi mnampima sasa? Tumpe mda, tukimjaji sasa tunamwonea, ubunge na uwaziri ni vitu 2 tofauti.
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Sasa kwa nini yeye mwenyewe ajilinganishe na hao wakongwe?
   
 19. S

  Senator p JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanzo mlimfananisha Baba MwanaAsha na Nyerere.wabongo kwa kupenda cfa ukimfananisha na Rostam atachukia.
   
 20. n

  nyalubanja Member

  #20
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyujamaa nihovyo kabisa maana kamawatuwangejua rafu alizomchezea mzee sherukindo wangeona alivyo wa hovyo
   
Loading...