Bob makani kaacha chachu!

THUNDERBOLT

New Member
Jun 10, 2012
3
0
POLENI WANACHADEMA na watanzania wote kwa kumpoteza Mzee Bob Makani. Naamini kifo chake kimeacha chachu itakayowaamsha wapenda mabadiliko wote na hasa vijana kutoka katika usingizi na naamini pia msiba huu utawapa moyo wa kupigana bila kurudi nyuma dhidi ya udhalimu wa serikali ya CCM. Mzee Makani atakumbukwa kwa kupigania matendo yasiyo ya haki na ubaya wa serikali ya CCM na wafuasi wao na matendo yao mengi yanayoruhusu watu kupenda zaidi rushwa. BWANA ALITOA BWANA AMETWAA…JINA LA BWANA LIBARIKIWE. Peoplesssssssss…..Powerrrrrrrrrrrrrr!
 
Back
Top Bottom