ushauri kwa chama cha mapinduzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushauri kwa chama cha mapinduzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dangire, Jun 10, 2012.

 1. Dangire

  Dangire JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hatimaye ccm kimeamua kupita kusawazisha nyayo za chama cha ukombozi ( kama ilivyo kawaida yao tangu wawe maji ya shingo). kuna msemo usemao "deal with your character, not reputation". inachojaribu kukifanya ccm ni kujisafisha kwa kusema 'mimi ni msafi', ilhali kila mtu anauona uchafu wao;'mimi ni makini', ilhali uzumbukuku wao u dhahiri; 'chama ni imara' wakati udhaifu wao unaonekana. na 'sisi ni wachapakazi' wakati ni dhaifu kupindukia.

  hii haijawahi kuwa 'permanent solution' mahali popote, hata kidogo. wataalam wa 'PR' -mahusiano ya uma, wanafahamu kuwa, njia sahihi ya kupata na kuimarisha image ya kampuni sio kuongea hovyo kwa kujibu kila hoja za upande wa pili huku ukiwa hakuna improvement yoyote unayoifanya. bali kusahihisha yale yanayosemwa ili public ijenge imani na kampuni/bidhaa zako.

  ccm, kwa kutumia rasilimali nyingi -pesa, muda, nk. kujibu hoja zenye mashiko za chadema, ambazo wananchi zimewagusa, mni kupoteza muda na rasilimali zingine. matokeo yake hayatakuwa kama chama kinavyofikira. unasema hali ya uchumi imeimarika, huku wananchi hawaoni mabadiliko, unategemea nini hapo?

  cha kufanya:
  1. ccm iache mara moja program yao ya kufanya mikutano eti ili kuelimisha uma kile serikali inakifanya! serikali ni zaidi ya taasisi, kila inachokifanya wananchi wanakiona. huhitaji kuwaambia.mf. kama serikali imejenga barabara, shule 'zenye ubora', hospitali nzuri 'zenye dawa na wataalam', nk. huhitaji kuwaambia eti tumefanya sisi! they are visible 2 everyone, my goodness!
  2. ikishaacha kufanya mikutano yake, ianze sasa kutekeleza kwa vitendo yale yote waliyoahidi tangu uchaguzi mkuu wa 2005, 'maisha bora kwa KILA mtanzania'. wakifanikiwa hilo, wananchi wataona, na hivyo imani itarejea.

  NB;# wananchi hawahitaji ahadi mpya, ama kuaminishwa juu ya dhahania fulani.wanahitaji kuona na kuguswa kwa dhati na matokeo ya wanachokiona (hasa kwa watz wa leo).
  # changamoto kubwa iliyoko mbeleni ni, je ccm itaweza kuleta mabadiliko yale wananchi wanayataka -kiuchumi, siasa, sayansi, na utamaduni? je si sharti kwamba mfumo uliopo (ikiwemo chama) ubadilishwe ili kufikia mapinduzi ya kweli?
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,846
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa wakitaka kurudisha imani yao kwa wananchi inabidi watekeleze dhana yao ya kujivua gamba na watenganishe biashara na chama la sivyo watakua wanajitekenya wenyewe halafu wanategemea kucheka
   
 3. D

  DOWN SYNDROME Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is too late! Hawawezi tena!
   
 4. M

  MTENGE Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Comrade all what you tell them they know, but they pretend that its wrong and what they do now is correct, they try to comfort there soul and no peoples soul, that is the different between CCM CDM
   
 5. M

  Mkira JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  CCM is insouciant, supercilious, ignominy about the problems the people of Tanzania are facing! it his the RIGHT time for it to GO in 2015!
   
 6. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nimesikiliza mkutano wa CCM neno kwa neno, what I lead was to inform the public on what is already in pipe line... indeed mambo mengi ni miradi ambayo iko kwenye utekelezaji... I didn't see what wrong about this... kama wangekuwa wanaongelea jambo ambalo hata haliko kwenye ilani yao... then you explanation make a lot of sense... however that is not the case... na amini usiamini watu wanaona.
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Kama juma ngasongwa, yaani hujaeleweka kabisaaa, hizo pipeline si ndo zilizopangwa kwa kukosewa kwa makusudi? achana na porojo, halafu kidhungu chako kina matege!!!!!!
   
 8. B

  Bob G JF Bronze Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Jangwani walikwenda kujimaliza coz Kundi la 6 ndo linajaribu kuhakiki uwepo wa ccm, Tusubiri kundi la Kaskazini Hatoki rais mzee EDO na mwisho litakuja la Membe ambae leo kaitabiria mazuri CDM, huwezi jua huenda amekata tamaa sa anajiandalia makao mapya coz kwenye SIHASA anything can happen
   
 9. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Mkuu asigwa, kuitaka CCM kuvua gamba ni kama kumtaka kobe avue gamba! Kuitaka CCM itenganishe siasa na biashara ni kama samaki aachane na maji akae nchi kavu! Njia pekee ya CCM kurudisha imani kwa wananchi ni kung'atuka na kuachia madaraka, period.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...