CHADEMA ndivyo mnvowaenzi waasisi wenu?

Status
Not open for further replies.

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,171
Nimefika msibani kwa Bob Makani, Mbezi Beach jioni hii.

Nimekuta sura nyingi za huzuni pamoja na ndugu na jamaa walio katika majonzi.
Natambua kuawa Mzee Bob Makani alikuwa mmoja wa waasisi wa CHADEMA pamoja na mzee Mtei.

Kilichonishangaza hapo ni kukuta gari la Mzee Bob Pajero Turbo 2600,likiwa limechakaa hapo mlangoni, na matairi hayana upepo.
Hapo nje nilikuta shangingi la rangi ya kijani likipepea benderea ya CDM.
Hicho nikakiona kuwa ni kielelezo cha umahiri wa CHADEMA kutunza waasisi wake, pamoja na makelele mengi wanayotoa majukwaani.

Charity begins at home, usipomtunza muasisi, je mtaweza kuwafikiria watanzania?
Sasa muasisi amefariki bila ya matunzo ya maana toka CDM, au kwa vile hakutoka Moshi/arusha?
 
Vyama vya siasa ni usanii mtupu. Sasa huyo ni muasisi, je kwa mtu mwingine wa kawaida tu ndani ya chama itakuwaje?
The unseen is illustrated by the seen.
 
Nimefika msibani kwa Bob Makani, Mbezi Beach jioni hii.

Nimekuta sura nyingi za huzuni pamoja na ndugu na jamaa walio katika majonzi.
Natambua kuawa Mzee Bob Makani alikuwa mmoja wa waasisi wa CHADEMA pamoja na mzee Mtei.

Kilichonishangaza hapo ni kukuta gari la Mzee Bob Pajero Turbo 2600,likiwa limechakaa hapo mlangoni, na matairi hayana upepo.
Hapo nje nilikuta shangingi la rangi ya kijani likipepea benderea ya CDM.
Hicho nikakiona kuwa ni kielelezo cha umahiri wa CHADEMA kutunza waasisi wake, pamoja na makelele mengi wanayotoa majukwaani.

Charity begins at home, usipomtunza muasisi, je mtaweza kuwafikiria watanzania?
Sasa muasisi amefariki bila ya matunzo ya maana toka CDM, au kwa vile hakutoka Moshi/arusha?

Ficha upumbavu wako na onyesha hekima yako.
 
Sio kosa lako,tume tofautiana katika kufikiri.wewe uwezo wako ume ishia apo so sio tatizo sana.
 
Kwa hiyo umejaji kutokana na gari bovu?,ungepaswa uulze upewe
majibu ndo uongee! No right to speak
 
Hiz thread za kipuuzi zinatafuta nini humu?
Mods futeni huu upuuzi unajaza sever tu.
 
Mkuu masopyakyindi usemayo ni kweli? Mzee Makani alikuwa mwanasheria na vijana wake wamesoma vyema. Pia ukumbuke ni pensioner huyu hivyo siamini kama hana gari ya kutembelea. Huenda hiyi ya kijani yenye bendera ndiyo ya muasisi utajuaje?
 
Last edited by a moderator:
Bora siasa ifutwe jeshi litawale nchi manake ni usanii tu hamna chochote mimi zimenichosha sasa.Halafu utakuta jitu linakomalia linapigwa na jua kisa linasikiliza wanasiasa pumbafu.Halfu wanasiasa wasiku hizi wamegeuza kuwa ndo ajira zao hawa ngoki wakingangania wapo radhi kuua mtu wabaki wao
 
Mungu wangu jf imeshuka thamani kama pesa ya zimbabwe, hivi mods thread kama post kama hii inasubiri nini kufutwa.
 
Kesho ukirudi ukakuta Mercedes 2.3, VX na Verossa zimepaki ndani pia utahitimishaje? Kwamba ni za marehemu toka CDM?
 
Nimefika msibani kwa Bob Makani, Mbezi Beach jioni hii.

Nimekuta sura nyingi za huzuni pamoja na ndugu na jamaa walio katika majonzi.
Natambua kuawa Mzee Bob Makani alikuwa mmoja wa waasisi wa CHADEMA pamoja na mzee Mtei.

Kilichonishangaza hapo ni kukuta gari la Mzee Bob Pajero Turbo 2600,likiwa limechakaa hapo mlangoni, na matairi hayana upepo.
Hapo nje nilikuta shangingi la rangi ya kijani likipepea benderea ya CDM.
Hicho nikakiona kuwa ni kielelezo cha umahiri wa CHADEMA kutunza waasisi wake, pamoja na makelele mengi wanayotoa majukwaani.

Charity begins at home, usipomtunza muasisi, je mtaweza kuwafikiria watanzania?
Sasa muasisi amefariki bila ya matunzo ya maana toka CDM, au kwa vile hakutoka Moshi/arusha?

Give me a break.Hivi kuwa na gari bovu nyumbani ni ajabu? Tena pajero ya muda mrefu kiasi hicho? Alikuambia kuwa anaihitaji na CDM wakashindwa matengenezo? Mkuu tafakari mbali zaidi!!! Gari haiwezi kudumu milele, inazeeka na inafikia mahali inakuwa not economicaly viable as maintainance costs exceed its utility!! Nenda shule kasome habari za magari, depreciation etc. Hata gari yako wewe hudumu nayo milele ndo maana kama fundi wako ni mzuri kuna mahali atakushauri kuwa sasa uza gari maana inaanza kula kwako. EBOOOOOOO. Acha uzushi.
 
Hiz thread za kipuuzi zinatafuta nini humu?
Mods futeni huu upuuzi unajaza sever tu.

Tatizo lenu vijana wa CDM ni kama mtu aliyevuta bangi, hamtaki kuelewa ukweli hata mkiuona kwa macho.
Mzee Bob namfahamu kwa miaka mingi, mzee wa principles na alikuwa mtanashati, mtu asiyechagua mtu wa kuonge naye licha ya umahii wke serikalini na ukubwa kiumri.

Nilipoona hali ya hapo na gari lisilo na upepe, hicho ni kielelezo cha kukosa matunzo.

Sasa kama unafikiri huo ni upuuzi I might question you sense of values to our erderly and senior citizens.

Kama kumtunza Bob Mkani ni upuuzi basi hat kuwatunza Wtanzania ni upuuzi vile vile.
CDM imejaa wachumia tumbo sawa a vile vizee vilivo chakaa katika chama tawala.

Hiyo ruzuku mwipeleka wapi?
 
Mbona Baba yake na Nape alikosa hata pa kuweka msiba ikabidi Makamba abebe msiba. huku lalamikia ccm kuwa imeshindwa kumtunza mzee nnauye, kwani Nyerere alitunzwa na ccm mbona alivostaff alikuwa anashinda shamba kulima, Ungejua uozo wa ccm ktk kuthamini mchango wa viongozi wake usingeleta post yako hapa, Bob Makani amekua Naibu Gavana na Mwanasheria mkuu wa serikari ya ccm mbona husemi serikali inatelekeza watumishi wake waadilifu badala yake inatuma ujumbe mzito kwenda marekani kumzika FISADI BALALI kwa fedha za umma! (Sina hakika kama Balali alikufa)
 
Ficha upumbavu wako na onyesha hekima yako.

Mkuu Molemo vipi Bob hana usaidizi wa Chama pamoja na kukipa utumishi uliotukuka? Heshima yake ilibaki tu kuwa mjumbe wa heshima wa kamati kuu? Nategemea kuona huyu mzee anapewa heshima inayomstahiki manake yeye, Mtei na Ngwilulupi walijitoa mhanga kwelikweli kuhakikisha CDM inaingia duniani. Tuliwahi kupigwa mabomu tukiwa pamoja tukielekea Bungeni Karimjee. Tulipambana kumuondoa MWanaderefa pale Shinyanga mjini lakini hatukufanikiwa. Mzee aliipigania demokrasia ndani ya chama na nje ya chama. Mpeni haki yake. Mkuu mwenyezi Mungu akipenda kesho nitakuwepo kumpa mzee mwenzangu mpambanaji mwenzangu heshima ya mwisho akiwa ametutangulia mbele za haki.
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada kaeleza alichokiona msibani hata mkishambulia kaishafikisha ujumbe...sijui na huu msiba wataenda kuzika au ndio watasema makamanda wapo kwenye ukombozi mikoani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom