Ccm ilitumia milioni 200 kwa mkutano wa Jangwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm ilitumia milioni 200 kwa mkutano wa Jangwani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jun 10, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inaonesha jinsi gani ccm walivyofilisika kisiasa, kitendo cha kukodi mabasi na malori kutokea kibaha na kisarawe kwa garama nyingine za kuwalipa wajumbe wa nyumba kumikumi ni tosha kuwa sasa kinapolomoka.

  Kwa nini ccm iige kila inachokifanya chadema,mkutano wa jangwani ulikuwa na maana gani?

  Wangekuja na maelezo kuwa wamewafukuza au kuwavua uanachama mafisadi magamba ndani ya chama ingeeleweka, hakina ubavu huo hakina ubavu wa kuwawajibisha mawaziri waliofukuzwa kwa ubadhilifu. Wanakuja na siasa za kurudisha kadi za chadema na nyingine za kuprint mitaani ni tosha uenezi wa nape una mashaka hivi kitu gani walichofanya jangwani kilichoweza kuwashawishi wapiga kura wao kwa kuwa wajumbe wao mitaani, wabunge, mawaziri na wanachama wao wote mtaji wao wa ushindi ni kununua na kuiba kura.

  Asimame kada yeyote kutoka ccm asimame adharani na kusema hawanunui wala hawaibi kura sasa mbunge wao wa bahi watamfukuza kwa lipi?iwapo kuanzia ikulu mpaka uchaguzi wa wabunge wa eac wote ni rushwa tupu sasa watanzania wameamka na hakuna longolongo na ccm ijiandae kuwa chama pinzani 2015 watake wasitake huo ndio ukweli kwakuwa vijana 80% ya watanzania hawaitaki tena ccm itaponea wapi?
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hiyo mia mbili weka mia na hamsini ya posho ambayo ni exluded hapo kuondoa aibu ya gharama
   
 3. a

  andrews JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole nape kwa kutumia mitindo ya kizamani wenzako chadema wanatumia digital wewe bado analog mbona hukuwekewa vitenge uvikanyage pale jangwani?
   
 4. g

  gwandi Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa kaka 2015 CCM itakuwa ni historia,kuwa kulikuwa na chama cha magamba kilishakufa long time.
   
 5. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,974
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hizo si zingetosha kutatua tatizo la maji Jimbo la Ubungo?
   
 6. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mkuu mbona figure ndogo, wametumia Milion 400.
  Hawawezi kubisha.
   
 7. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Na bado 2015 ndio watajua m4c ni nini kama Mtwara na Lindi wameelewa sijui ccm watachomokea wapi
   
 8. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Acheni upotoshaji. Utaratibu uliotumika ni kila mwanachama kuchangia nauli ya kwenda na kurudi, hivyo ni utashi na umoja wa wanachama uliofanikisha watu kuja kwa makundi na kurudi pamoja. Tofauti ya CCM na CDM ni kuwa CCM ina wanachama wanaofahamiana na wenye heshima wakati CDM ina wakora wengi ambao hawana anuani za makazi pia matawi ni adimu katika maeneo wanayoishi hapa jijini. Mtaani kwetu wanachama wa CDM huendesha vikao katika BAR
   
 9. a

  andrews JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]CARD WALIZONUNUA CCM HAZINA HATA MAJINA
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Hoja Mufilisi aka P.umbaaaa
   
 11. a

  andrews JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]GHARAMA NYINGINE ZA KUKODI MAGARI YA WATOTO WA NURSERY
   
 12. c

  chama JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Porojo hizi mtamaliza lini? Watu wamekwenda Jangwani kwa mapenzi yao hakuna cha zaidi

  Chama
  Gongo la Mboto DSM
   
 13. a

  andrews JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  MWANACHAMA MWINGINE NAPE ULIMSAHAU[​IMG]
   
 14. a

  andrews JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  KINATUMIA MUDA K[​IMG]WA VITENDO
   
 15. sifongo

  sifongo JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 4,597
  Likes Received: 2,408
  Trophy Points: 280
  Mliwaita wakora mwanza mkasema hawana issue maana sio wapiga kura sasa munawabembeleza na kuwafanyia semina za ujasiriamali acha dharau mkuu, huo ukora mumeusababisha nyie CCM ila nakuhakikishia 2015 wakora wanaitoa CCM Madarakani............umenifanya naandika kwa hasira kwa maneno yako ya Shombo.
   
 16. a

  andrews JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  MICHUZI ALILIPWA KUDANGANYA WATANZANIA[​IMG]
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Millioni 100 zimetumika kama posho kwa wanachama walio hudhuria mkutano j.mosi na zote hizo zimetolewa na mwamba wa kaskazini lowasa.

  Nadhani hata gwajima aliye wafadhili vifaa vya muziki hawajamlipa na wanachama wengine hawa kulipwa wala kupewa ubwabwa maharage walio ahidiwa.
   
 18. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ccm waturahisia ushindi wetu mwaka 2015...maana wanajiendesha kama chama pinzani
   
 19. B

  Bob G JF Bronze Member

  #19
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Haya mfadhili wao alie fadhili viti, maturubai ni Muhubiri Gwajima ingekua CDM wangechonga yote sasa ccm ni chama cha WAKRISTO? na hizo 200m walihonga watu wahudhurie mkutano.
   
 20. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  sijaona mil 200 mkuu. ungebadilisha heading coz unaweza kuta zinafika hata mil 600. Mia
   
Loading...