Kesho ni siku ya chadema kuvuna wanacha na wapenzi zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesho ni siku ya chadema kuvuna wanacha na wapenzi zaidi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by IDIOS, Jun 17, 2012.

 1. I

  IDIOS Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  CDM kesho kupitia kwa waziri kivuli wa fedha na na naibu kiongozi wa upunzani bungeni Zitto Z. Kabwe anawasilisha bajeti mbadala ya ya ile ya serikali iliyowasilishwa na waziri wa fedha William Mgimwa alhamisi iliyopita.

  Wananchi wamekaa mkao wa kula wakiusubiri kwahamu kubwa bajeti hiyo ili waweze kuona kama itakidhi matarajio yao ya kuweza kuwaondolea maisha magumu kwa kila mtanzania waliyonayo.

  Hakika pasipo shaka kuwa bajeti ya serikali imeshindwa kuonesha mwanga kwenye nyuso za watanzania waliowengi

  Hata wachambuzi, wanahabari, wanauchumi, vyama vyote vya upinzani pamoja na baadhi ya wabunge wa chama tawala (CCM) wamepinga vikali kwani wameona haitawasaidia moja kwa moja wananchi wa hali ya chini.

  Waziri wa fedha kivuli tayari naye kashaiponda bajeti hiyo ambayo haina sources cha mapato zaidi ya kupandisha katika sigara, pombe na gharama za simu pekee kitu ambacho kwa serikali haitaweza kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi unaotakiwa.

  Pia naibu kiongozi wa upinzania nungeni na wazir kivuli wa fedha pia ameshaeleza kuwa bajeti ya serikali ya mwaka huu wa fedha ni bajeti ya kulipa madeni tu kwani makandarasi wote wanaojenga barabara ndani ya nchi yetu wanaidai serilali ya (CCM) kwa almost wote wamelipwa kama ya utangulizi pekee (advance payment).

  Mfumuko wa bei unazidi kuongezeka siku hadi siku kutoka asilimia 6 mwaka jana hadi kufilia asilimia 28.... mwaka huu wa bajeti kitu ambacho waziri kivuli hyo anasema ni kitu hatari sana katila mstakabali wa maisha ya watanzania kwa ujumla.

  Kwa hiyo kesho kama wapinzani wataweza kuwasilisha bajeti ambayo itakuwa na sura mpya na sura ya matumaini kwa watanzania hakika uwezekano utakuwa mkubwa wa kuwavuta watanzia wengi zaidi bila kujali itikadi za vyama katika kuwaunga mkono na kuipotezea zaidi serikali ya kifalme kama mnadhimu mkuu bungeni alivyowahikuiita . ( yaani serikali ya CCM)

  Viongozi wa serikali ya CCM wameishia kuwa wanafiki na wadhandiki wakubwa kwa wananchi waliowaweka madarakani.

  Watanzania wengi macho na masikio yao ni kesho pale mjengoni kusikiliza bajeti mbadala.

  Hivyo basi tunawaomba wapinza hasa CHADEMA kutuletea bajeti yenye akili c kama ya hawa wenzetu(CCM).

  Pia wapinzani wote unganeni ili bajeti ya Mgimwa isipite kwa njia yoyote mkiungana na wanaccm waungwa kama Deo Filikunjombe hakika wananchi wanawaona hata juu oiathawabu yenu ipo.

  Ya kwangu ni hayo tu wa JF.

  NAWASILISHA BUT MICHANGO INAHITAJIKA ILI KUBORESHA ZAIDI NQ KUKOSOA PALE ILIPIKOSEA.

  NI MIMI MPENDA MABADILIKO
   
 2. regam

  regam JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Serikali ya sisiemu si kwa maslahi ya watanzania wa hali ya kati na chini bali wanajilimbikizia mali. Chochote watakachokifanya ni kuhakikisha wanaweka mazingira ya ulaji kwa nafsi zao na kwa marafiki zao.
  Tunapowachagua wawakilishi wetu yaani wabunge na wao kugeuka na kujiangalia nafsi zao inasikitisha sana. Tunawashukuru wabunge mfano aw akina zito na wengineo kwa kusimamia maslahi ya taifa. Tunawaombea kwa mwenyezi mungu awape ujasiri aw kutoogopa kwa kusimamia haki.
   
 3. I

  IDIOS Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hakika ukombozi unakaribia na hakika CCM itashindwa kwa laana ya wananchi ambao kila kukicha wanalalama maisha magumu na wengne kuishia kula chakula mlo mmoja kwa siku.

  Mungu sikia kiliocha waja wako tunateseka kwa gharama hizi kubwa za maisha wakati serikali yetu haina mpango wa kutufungua na minyororo mikubwa tuliyofungwa nayo.

  Mfano mzuri kwa wafanyakazi hapo mwanzo waliweza utumia mshahara hadi mwezi unaisha lakini kwa ss mshahara haumalizi mwezi hakika unaishia katikati bc kutokana na inflatio kuwa juu kupita kiasi.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Gesi, Airtime na vinywaji kupandishwa bei ni pigo la tumboni, kwa mwananchi, na tena pigo la mwisho.
  Ni upuuzi wa juu iwapo wabunge hata wa ccm wataikubali bajeti ya mateso kwa Mtanzania kiasi hicho. Tunangoja bajeti ya ukombozi na Neema hapo Kesho...MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
 5. I

  IDIOS Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tuweke imani nyingi kuwa kesho itakuwa cku ya maumivu na huzuni kubwa kwa hawa wanaharamu wakubwa.

  CCM hakika inaenda kufa kifo cha aibu mda mfupi ujao na wala hawatafika mwaka 2015.

  Hakika inaenda kuangamia soon na hilo watanzania wote tujumuike kuiombea CDM izidi kusonga mbele.

  Pipizzzzzzz pawerrrrrr.
   
 6. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  marakebisho kwenye inflation sasa ni 18 sio 28 Inasikitisha kuona hata kile kidogo mwananchi alichonacho bado ananyang'anywa..tangu lini serikali ikaongozwa kwa hela ya sigara na bia?? KESHO tutegemee makubwa ila kwa unafiki wa wabunge wa ccm wataishia kupiga tu makofi ili bajeti ya mgimwa ipite
   
 7. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu awe pamoja nae mh.zitto kabwe...
  Mungu ibariki chadema....
   
 8. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Kesho ni siku ya kuchekecha ni diploma,bachelor,degree,masters,certificate zipi zilizohudhuria na kugushiwa kati ya ccm na cdm
   
Loading...