Maji Marefu CHUPU CHUPU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maji Marefu CHUPU CHUPU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAKOLE, Jun 16, 2012.

 1. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Uvumi ulioenea kuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Ngonyani a.k.a. Prof. Maji Marefu (C.C.M) amefariki dunia
  Sio wa kweli baada ya yeye mwenyewe kutembelea baadhi ya mitaa kuuthibitishia uma kuwa bado anahema.

  Habari zinasema kuwa, uvumi huo uliwashtua wengi na kutokana na simu pamoja na watu wengi kufika nyumbani kwake ilimpasa mbunge huyo kutembea na Lap top yake ili kwa kadri alivyoweza-awaonyeshe watu kile kilichofanyika akiwa nchini India kwa matibabu.

  Hata hivyo, shuhuda mmoja anasema kuwa hali ya mbunge huyo bado haiko sawa na ndio maana hayupo kwenye kikao kinachoendelea sasa DODOMA.

  source: Wadau kutoka eneo la tukio. Korogwe
   
 2. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Profesa wa kusafiri na bundi,. Cafe tu watu tuyagaragaze magamba tena kama kule arumeru tulivoyagaragaza nkapa na migulu
   
 3. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  sijakuelewa hapo
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Huyu si ndiyo Lusinde alisema anawachanja watu hadi .... ili waishi? Kivipi tena yeye mwenyewe afya yake mshike mshike? Nilidhani kamaa anaponya wengine basi yeye hakuna ugonjwa unaomgusa!
   
 5. S

  STIDE JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Duh!! Katucheleweshea jimbo!! Mungu ampe maisha marefu!
   
 6. B

  Bob G JF Bronze Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hakuna sababu ya kuzusha Kila mtu ata kufa 2 haikwepeki ikifika imefika
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wala huko bungeni haitajiki kwani wagonga meza waliopo wanatosha tena na bora wengine wapungue
   
 8. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Muda si mrefu atamfuata ndugu yake shekh yahya hussein, inapendeza sana mchawi anapokufa...
   
 9. S

  STIDE JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mchawi hafi ki-rahisi aisee!!
   
 10. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Wishing him quick recovery!
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mimi naomba Pro. Maji Marefu apate afya njema. Kuhusu suala la eti akifa jimbo litaangukia mikononi mwa CDM hilo kwa wilaya ya Korogwe vijijini bado maana wakazi wa kule ni wazigua ambao wamelishwa limbwata na CCM.

  Ukianzia vijiji vyote vya Kwalokonge Magamba, Kweisewa, Masimbani, Toronto n.k bado muamko ni mdogo sana mpaka labda vuguvugu lipite kwanza.
   
 12. Jembe Ulaya

  Jembe Ulaya JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 456
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maji marefu, kina kifupi.
   
 13. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Jimbo lake sehemu kiubwa ni wasambaa mkubwa. Labda ungezungumzia ni makabila mchanganyiko ya wasambaa na wazigua. Ila hayo maeneo uliyoyataja ni ka sehemu kadogo sana ka Kor-vijijini
   
 14. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Zimeenea wapi, mbona mimi sijasikia mganga yeyote kafa?

  Sisi tupo macho, tunasikilizia jimbo
   
 15. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Nani kasema mchawi huyo, alikuwa akiganga njaa kuwatoa upepo walionazo.
  Sasa njaa yke kaipeleka bungeni, Tanzania bana!!!
   
 16. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  angeondoka tu, mchawi mkubwa.
   
 17. M

  Mwanandani Senior Member

  #17
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumbe na yeye anaweza kufa!sasa kwanini hua ana watishia wenzake na uchawi wake!Sisi makamanda atuogopi kufa sababu ata tukiogopa kufa niwajibu wakila mtu,pia atuogopi kuuliwa sababu ata tukiogo tutakufa ata namalaria,ata uyo atakae tuua na atakufa ata ishi milele.kwaiyo Makamanda wote tusonge mbele kulikomboa taifa letu atakae kufu ana fukiwa walio baki nikusonga mbele awawezi kutu ua wote,atuwezi pewa uhuru wa kweli kama zawadi lazima tupambane natu kubali kufa.
   
 18. N

  Nambombe Senior Member

  #18
  Jun 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole prof
   
 19. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,845
  Trophy Points: 280
  KILA NAFSI ITAONJA MAUTI...hakuna cha proffesaa au docta maji mafupi
   
 20. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,814
  Likes Received: 36,906
  Trophy Points: 280
  huo mda wa kuzunguka mtaani kuwaambia wananchi kuwa hajafa angeutumia kuzunguka katika jimbo hilo kufatilia matatizo yanayowakabili wananchi.
   
Loading...