TUTARUDIA HOTUBA YA BAJETI 2012 - 1013 IFIKAPO SAA KUMI KAMILI - Arusha Mambo

Arusha Mambo

Senior Member
Jan 27, 2011
174
150
Kufuatia maombi ya Watanzania wengi hasa waishio nje ya Tanzania, Arusha Mambo tutarudio Kipindi cha Bajeti ya Mwaka 2012 - 2013 iliyosomwa Bungeni Dodoma siku ya Alhamisi tarehe 14, Agosti.

Hotuba hiyo itaanza kusikika kuanzia Sa 10.15jioni ya leo.

tembelea www.arushamambo.com click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." redio ikifunguka kwenye Page ya Tune IN tafadhali click LIKE au toa maoni yako kupitia info@arushamambo.com

Arusha Mambo itarusha vipindi vyote vya Bunge vya Asubuhi (Saa 3as - 7mch) na Jioni (Saa 10jn - hadi Bunge litakapomalizika Agosti 22.2012

Arusha Mambo
 
Hiyo bajeti kichefuchefu tupu kuna nini kipya ambacho wanataka wasikie ?

Ni vema wananchi wakaisikiliza vizuri ili wajue kwamba serikali yao haina dhamira ya dhati ya kuwapunguzia ukali wa maisha.
 
Back
Top Bottom