Je ile tume yakushughulikia matatizo ya muungano iko wapi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ile tume yakushughulikia matatizo ya muungano iko wapi??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Jun 17, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka kuliundwa tume ya kushugulikia kero za muungano ikiwa na wajumbe kutoka Zanzibar na kutoka Bara na ikashauriwa angalau kila baada ya miezi 3 viongozi wakuu katika serikali wawe wanakutana ili waongelee matatizo ya muungano sasa nini kilitokea hivi vyo vikawa havikutani na kujadili matatizo ya muungano ni kwanini hawaongelei swala la UHAMSHO??
  Kwani offisi ya mkamo wa rais sindiyo inawajibika kuhusu swala la Muungano?? Mbona iko kimya??
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu ile tume ambayo nadhani yumo waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano na Waziri kiongozi ni tume ya kuishauri serikali kuhusu jinsi ya kutatua kero za muungano hivyo siamini kama inaweza toa tamko. Pia naamini hiyo tume bado ipo
   
 3. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tume ya Katiba itaanza kazi lini?
   
Loading...