katika hali inayo elekea kuwa vugu vugu la mabadiliko ninaichanganya serikali ya ccm,hatimaye wale waathirika wa mafuriko ya mwaka jana mwezi wa kumi na mbili waliosota kwa mda wa takribani miezi sita wamepata nafuu baada ya kutokea mkutano wa CHADEMA leo jpili hapa TABATA SHULENI ambapo asubuhi na mapema malori yameonekana yakiwasomba na kuwaondoa walipokuwa wanaishi pale katika kituo kimpya cha polisi tabata shuleni,juu ya hilo kamanda LEMA amewahaidi kwamba endapo watakuwa wameondoshwa kwa danganya toto atawafundisha wana tabata jinsi ya kuandamana ili hao watu wapate makazi mazuri ya kudumu.nawasilisha