Ushauri kwa NAPE...achana na CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa NAPE...achana na CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Jun 17, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Nape ni mwanasias bora na mzuri nakijana mahiri kwa siasa za nchii lakini mimi namshauri aangalie mara mbili juu ya yeye kunga'ang'ania CCM ni vizuri akakiacha hicho chama na kufuata huu ushauri nakujiunga na CHADEMA!
  CCM inampoteza image yake kwenye siasa hawezi tena kushine tena katika hili chama limeishakuwa kuu!! niwatu kuogopa naniaanze ila wanatamani kuondoka.
   
 2. O

  OIL CHAFU JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 689
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  Atakumbuka shuka kumepambazuka. Mwenzake Milya kasoma alama za nyakati tayari
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  CCM ilikuwa zamani wakati haijawa chama cha wakwapuaji sasa hivi nichama cha wenye pesa!Na ndo zinazo waponza!
   
 4. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Mbona Ccm panamfaa sana?
  The unseen is illustrated by the seen.
   
Loading...