Dodoma m4c

kibakwe

Senior Member
May 10, 2011
171
22
mkutano wa Chadema unaendelea kwa sasa katika ukumbi wa POLISI JAMII-dodoma,wapo akina bowe,Tundu,Silinde na wabunge mbalimbali wa Chadema.Kwa sasa Tundu Lissu ndiyo anafungua dimba
 
Ni mahafali ya Wanafunzi wa Vyuo vikuu vyote vya Dodoma amboa ni wanachama wa CHADEMA
 
mkutano wa Chadema unaendelea kwa sasa katika ukumbi wa POLISI JAMII-dodoma,wapo akina bowe,Tundu,Silinde na wabunge mbalimbali wa Chadema.Kwa sasa Tundu Lissu ndiyo anafungua dimba

Ngoja tuje wakuu.
 
Kweli CHADEMA ni noma yaani wanatwanga kote kote sasa Nape sijui ataenda wapi akitoka Iringa maana leo CHADEMA wametema cheche Dar maeneo ya Tabata na Dodoma ukumbi wa polisi jamii.CCM hata waeanyeje hawauwezi moto wa M4C.
 
Nape atapita kote huko,tunaita kufukia nyayo au kujibu mapigo
Tatizo ni gharama za kubeba wahudhuriaji
 
Back
Top Bottom