Shule kukosa madawati mafinga sio udhaifu wa viongozi kweli?

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Last week wakati Nape alipokutana na watu wa mafinga kama sikosei ni walimu wale.
Eti wanalalamika kuwa kuna watoto wanakaa chini.
Sasa nkawaza Mafinga ndo ambapo kuna ule msitu wa Sao Hill ivi hili suala linaingia akilini kweli?
Mkuu wa wilaya na watu wako mnafanya nini?Wanatakiwa kulalamika watu ambao hawana misitu na sio ninyi ambao mna misitu!
You could simply waambia hao Sao Hill na makampuni mengine yanayomiliki kupiga donation ya kila mwaka ya kiasi fulani ya madawati tena hata watu binafsi wenye misitu donation ata ya mti mmoja au mbao kadhaa.
Ivi ili suala mnangoja central government kweli?
On a serious note I was schocked kusikia hili kwenye watu ambao wamezungukwa na misitu!
 
Hilo ni balaa la kung'ang'ania CCM. Nape mwenyewe alikuwa anawashangaa wana Mafinga.
Wenye chama wanasema kuwa wahenga walishatabiri kuwa 'penye miti hapana wajenzi!'
kwahiyo usiumize kichwa chako. wewe pita tu
 
Back
Top Bottom