Nape amfananisha na punda mbunge wa Iringa mjini (Peter Msigwa)

Mlyafinono

Senior Member
Apr 6, 2012
177
47
Katibu wa itikadi na uenezi Nape Nnauye amesema mchungaji Peter Msigwa ni sawa na punda kwenye kundi la ng'ombe na kwamba anawabebea mizigo CCM lakini 2015 watamuondoa asije akawaambukiza magonjwa ng'ombe wao.Amesema hayo leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika sokokuu la manispaa ya Iringa
 
Msishangae siku hizi ndiyo sera za ccm hizo zinazotokana na ilani yao ya uchaguzi ya 2010.
 
hivi nape ana IQ ya ngapi?hivi hakuna kijana mwingine ambaye anaweza kuchukua mikoba ya huyu mtu?....
 
Yan sasa hivi naangalia startv ,nyomi iliyokuwa iringa ni noma sana yan moto huu ni mkali sana.

Nape lazima lazima achanganyikiwe.
 
Nape kweli n boguz man, sasa ana hadhi hata ya kujilinganisha na kamanda msigwa? Aache kutoa povu na Kamanda msigwa endelea na mapambano kaka na ss huku tupo nyuma yako kwa maombi na struggle pia.
 
NAPE akifika salama 2015 bila ya kufukuzwa ccm itakuwa bahati yake. Lakini atakuwa amezeeka sana kiakili na kimwili pia! Sababu anatumika bila hata ya kutumia akili yake ya kuzaliwa. Akiambiwa mbelee tembea, hajui ataishia wapi, yeye ni kwenda tu kama zezeta vile. Ccm ina wenyewe dogo, na wewe humo!
 
Katibu wa itikadi na uenezi Nape Nnauye amesema mchungaji Peter Msigwa ni sawa na punda kwenye kundi la ng'ombe na kwamba anawabebea mizigo CCM lakini 2015 watamuondoa asije akawaambukiza magonjwa ng'ombe wao.Amesema hayo leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika sokokuu la manispaa ya Iringa
Kwahiyo Msigwa sio kinyago kilichochongwa na Nape? Kinyago kimeanza kumtisha mchongaji?
 
Katibu wa itikadi na uenezi Nape Nnauye amesema mchungaji Peter Msigwa ni sawa na punda kwenye kundi la ng'ombe na kwamba anawabebea mizigo CCM lakini 2015 watamuondoa asije akawaambukiza magonjwa ng'ombe wao.Amesema hayo leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika sokokuu la manispaa ya Iringa

Nape kama ungekuwa bora si ungepewa ridhaa ya kuwa mbunge!msingwa amepewa ridhaa na wananchi wa iringa mjini tofauti na wewe ambaye umepewa ukatibu uhenezi na mtu mmoja.Sijaona huo mkutano wako lakini nina uhakika nyomi ya jana pale kihesa imekuacha mbali sana.
 
Mtaalamu wa magonjwa ya akili anahitajika haraka sana aje amsidie huyu kijana Nape hali yake ya kiakili naona inazidi kuwa mbaya siku hadi siku.
 
wewe mkorogo Uvumilivu wa matusi ya ccm kututukana raia karibia tutafikia mwisho,litakalotokea msitafute mchawi.
 
Back
Top Bottom