Sijakuelewa Zitto Kabwe, yale madini etc hujaona kama yatasaidia umeturudia sisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijakuelewa Zitto Kabwe, yale madini etc hujaona kama yatasaidia umeturudia sisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kibai, Jun 20, 2012.

 1. kibai

  kibai JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  In have just seen post ya zitto kwenye FB anapendekeza kuongezeka kodi kwa watumishi, an easy pray siku zote. Sikutegemea, mimi nilidhani CDM mko ki ukombozi zaidi sasa mnataka tena kuleta hoja dhaifu kama wenzenu. Thinking of PAYE kila siku badala ya kufumua ma mikataba ya madini, na ma misamaha ya kodi kila wakati, hebu tuombe radhi kaka, think of namna watu wanavyokwepa kodi, maduka yote karibu watu hawalipi kodi, everywhere in TZ but always mnafikiria PAYE, is it the begining of a failing strategy? nahisi amepitiwa tu.
   
 2. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono.
   
 3. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,112
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  kama ulisoma makala ya zitto na Barick Gold mine inazidi kutupa ukweli wa tuhuma hizo
   
 4. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Nina uhakika, wafanyabiashara wengi wa maduka madogomadogo na vi-grocery huwa hawalipi kodi ya mapato na vyanzo mbadala alivyozungumzia mwaka jana ndiyo PAYE ya wafanyakazi?
   
Loading...