Chadema kujipanga upya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kujipanga upya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, Jun 20, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wana JF habari za ndani toka kamati kuu ya chama kinachotawala mioyo ya Watanzania(CHADEMA) zinasema hivi karibuni kutakuwa na badiliko kubwa la baraza la Mawaziri kivuli na sambamba na kulipunguza baraza hilo tutegemee makubwa maana Kiongozi wa Kambi ya Upinza akishirikiana na Kamati kuu ya Chama wanafanya uchambuzi wa kina ili kujua nani anafaa wapi.
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Vipi limepwaya kama la serikali lililopita. Hapa naona waziri wa fedha anawindwa manake nasikia amewasilisha budget sifuri!
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Lakini haifikii iliyowakilishwa na serikali ambayo mzinzi aliitetea sana
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  wanajipanga kuhakikisha wanapam bana na mabidiliko na sura mpya pia kulipunguza
   
 5. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wacha uzushi wewe, chadema sio magamba, lete ushaidi hapa.
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  huu siyo uzushi Mbowe akiwa kwenye mkutano Arusha aliahidi kilifumua baraza kivuri...
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  makosa yaliyo kwenye budget ya upinzani mavi yaliyoko kwenye budget ya magaz huwezi linganisha kabisa..zitto kawashika ccm ndiyo maana mnaumiza vichwa..
   
 8. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sioni hata wanatusaidia vp na hilo baraza
   
 9. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  tupinge akibadili baraza utanipa nini,na kama unataka ushahidi tangulia mahakamani
   
 10. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Du! Mzee hilo la kukupa nini achana nalo, anaweza kukupa vya kukudhuru. Nakukubali wa jikoni wangu, vipi Vincent Nyerere atakuwemo?
   
 11. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Kimbunga na wewe kwa ushawishi na maswali yako ya kimtego mtego! teeeh..teeeh. .
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hili lilitakiwa kufanyika mapema mara baada ya serikali kubadilisha. Nashauri kwenye baraza kivuli wampe Rose Kamili uwaziri kivuli wa kilimo na mifugo. Huyu mama anajua vizuri sana nini kinatakiwa kifanyike.
   
 13. P

  Popompo JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  tunasubiri habari kamili,kwani wataonyesha ukomavu wa kisiasa.wapo kwenye mbio za kuichukua nchi so si vibaya wakiongezeana ujuzi kwa kuwa na nafasi mbalimbali ,sio kama magamba kuanzia enzi za mwalimu mpaka leo dot com mtu bado yupo tuu!ndo maana wanashindwa kuongoza
   
 14. d

  deecharity JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  bora aliewasilisha budget sifur kuliko ccm waliowasilisha budget negative
   
 15. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Mshauri Mwelekezi wa kupanga safu (Dr Kitila) ameshashirikishwa?

  Huyu Kitila aliniacha hoi alivyopewa kazi ya kuchagua Wabunge wa Viti Maalum,... kwa woga alio nao kwa Mbowe, aliteua Wachagga kibaao....ndo CHADEMA hiyo.
   
 16. R

  RMA JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongereni Chadema!!!!!!!!!!!!!!!!
  [​IMG]
   
 17. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 18. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 19. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Hivi M. Akonaay yuko ktk baraza la sasa?
   
 20. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
   
Loading...