Mch. Mwesiga afyatuka... "Matatizo hayawezi kutatuliwa na watu wenye fikra zilizoyasababisha!"

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626

Mchungaji msigwa akiaongea kwa jazba kidogo amelaumu kitendo cha Nchemba kuwaambia CDM wana pepo mtaka vyeo na wanahitaji maombi, akiendelea kufafanua anasema hata huko kwenye theology wanasema asiyefanya kazi na asile sio aombewe.

Amemshangaa Nchemba kwamba ni mchumi wa aina gani anayesema CDM waombewe kwenye issues zinazohusu uchumi, amesema wachungaji huombea wazinzi wanaofumaniwa na wake za watu
 
Last edited by a moderator:
Amemwambia Nchemba? Wewe una lako jambo, Nchemba amewaumiza jana ndio maana unahaha, nchemba hajawahi kufumaniwa
 
Jaman daa msigwa kaongea ukweli sana, chadema kweli ni vichwa wote,. Mungu mbariki msigwa mungu wabariki chadema,.
 
Masikini wananchi wa jimbo la iringa, matatizo yao hayawakilishwi tena.

Kuwepo na kiwango cha elimu, la si hivyo huu ni msiba jamani. Yupo nje ya mada 100%
 
Mwigulu kaaibika sana aisee, now taifa zima na kwenye hansad za bunge itajulikana kuwa ni mzinzi aliyefumaniwa na mke wa mtu na anahitaji kuombewa.
First class economist anayetumia njia zilizoshindwa kutatua matatizo ya nchi.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Msigwa ni jembe la uhakika, amewapasha wanaojiita wachumi first class lakini hawana mchango wowote wa kiuchumi.
 
Masikini wananchi wa jimbo la iringa, matatizo yao hayawakilishwi tena.

Kuwepo na kiwango cha elimu, la si hivyo huu ni msiba jamani. Yupo nje ya mada 100%

Mbunge wenu wa magomeni Mh Chombo ameshindwa hata kukitaja chama cha ASP anasema CCM ilizaliwa na TANU! Aibu iliyoje kwa ninyi wazanzibar kujifanya mnadai nchi wakati hata historia yenu hamuijui. Na kwa kujikomba huku kwa Chombo tutahakikisha hadi mafuta yenu kidogo tunagawana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Masikini wananchi wa jimbo la iringa, matatizo yao hayawakilishwi tena.

Kuwepo na kiwango cha elimu, la si hivyo huu ni msiba jamani. Yupo nje ya mada 100%
We mpuuzi wacha kututukana watu wa Iringa. sisi sio maskini, labda maskini nyie ambaye mnalialia kila siku ati mvunje muungano ili mpate msaada toka kwa waarabu.
 
Jaman daa msigwa kaongea ukweli sana, chadema kweli ni vichwa wote,. Mungu mbariki msigwa mungu wabariki chadema,.

Vichwa kwa Pumba kama hiyo? Kama ni hivyo bora tu kusiwe na Upinzani hapa Tanzania.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Amemwambia Nchemba? Wewe una lako jambo, Nchemba amewaumiza jana ndio maana unahaha, nchemba hajawahi kufumaniwa

i can understand, not everyone can connect the dots, jamaa kaongea kwa fasihi sana, ni lazima uwe unajua kujumlisha na kutoa ili kujua anasema nini, kama mtu katoka fb leo hawezi kuelewa hata kidogo nini msigwa alikua anaongea

he who laughs last think slowest!
 
Mchungaji Msigwa anatisha,katema cheche mpaka nimewaona waziri Lukuvi na Membe wakitikisa vichwa kumkubali mchungaji Msigwa,kipindi anaongea CCM walikuwa kimya kutokana na ukweli waliokuwa wanapewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom