Ruhsa kufunguliwa afisi za kibalozi zanzibar-aboud

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=2][/h]

Waziri katika ofisi ya makamo wapili wa Rais Mh Mohammed Aboud


Serikali ya mapinduziZanzibarimesema inaendelea kufanya mawasiliano na ofisi za kibalozi zilioko mjini Dar es Salaam ili zifungue ofisi ndogo za kibaloziZanzibarhatua itakayorahisisha utowaji wa misaada ya kimataifa.
Akijibu suala katika kikao cha baraza la wawakilishi waziri wa nchi ofisi ya makamo wa pili wa rais Mohammed Aboud amesema uwamuzi wa nchi za kigeni kufungua ofisi za kibaloziZanzibarni uwamuzi wa nchi husika kulingana na maslahi ya nchi hizo.
Aboud amesema nchi tano za kigeni zikiwemo China, India, Oman, Misri, Msumbiji ndizo zilizofungua afisi ndogo za ubalozi, wakati nchi za Uingereza, Sweden, Norway na Denmark zimefungua balozi za heshima
[h=3]Like this:[/h]Like
Be the first to like this.
 
Back
Top Bottom