Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni katika kilele cha sherehe za ALAT.Uwanja hauna watu kabisa.
0 Reactions
0 Replies
826 Views
akhasante MUNGU; MUNGU MKUBWA.................
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakati mzimu hatari wa mgongano wa ki- utu na maslahi kati ya serikali na madaktari ukiwa kwenye wakati wa joto kali ukifanyika kwenye shingo tepetevu ya raia asiye na hatia yoyote, mapambano...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Bali ni baba yangu. Najua akina Nape, ritz, Zomba na the likes ambao wapambanaji mtanisaidia kuwataja, wamekimbilia post hii wakijua labda Dr. Slaa karudisha kadi na kujiunga na magamba. Eee...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Baada ya kuahirisha hotuba yake na apparently kwenda Kigali kwenye sherehe yao ya miaka 50 ya uhuru (ilhali Kagame hakuja hapa, anyhow...), ningependa atueleze wananchi wake yafuatayo kwa kina ...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Tuka nipate taarifa kupitia vyombo vya habari kama ITV kuwa Rais atahutubia Taifa leo hadi muda huu yupo kimya na hakuna taarifa zozote. Je huu si ubabaishaji mwingine? kwa watanzania kudanganywa...
2 Reactions
65 Replies
5K Views
Napendekaza ianzishwe taasisi ijulikanayo kama Dr. Ulimboka foundation. Kazi zake iwe ni kuchangisha fedha kutoka kwa wananchi ndani ya nchi na kwa wafadhili nje ya nchi kwaajili ya ununuzi wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Spika wa bunge Anne Makinda amelaani vyombo vya habari Tanzania kumkalia kooni kwamba amekuwa akipendelea wabunge wa CCM bungeni na kukandamiza wale wa CDM. Makinda amesema kinachosumbua...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
BABA wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, mzee Steven Mwaitenda amejikuta akiangua kilio kwa uchungu mbele ya wanaharakati ambao walimtembelea mwanae, Dk. Steven Ulimboka kumpa pole...
1 Reactions
76 Replies
7K Views
nakumbuka kwa mbali sana, migomo ya wafanyakazi inafanana fanana kwa vipi? je madaktari wanatekeleza kilichonzishwa na walimu, TRL , wale vijana wa viwandani? au laa mgomo ile na uharibifu wa ludd...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kazi za watu zinasimama magari hayapo kwa saa nzima eti kisa msafara wa Liwalo na liwe hapa Mwanza barabara nyeupe mpaka Airport.
0 Reactions
0 Replies
771 Views
SERIKALI imeamua kuagiza madaktari kutoka nchi za nje watakaochukua nafasi ya wale wa hapa nchini ambao wamegoma kuanzia mwishoni mwa wiki iliyopita. Habari kutoka katika moja ya vyanzo vya...
1 Reactions
190 Replies
13K Views
Siasa inapochanganywa na utaalamu kwa manufaa ya utaalamu siasa huwa bora, ila siasa inapochanganywa na utaalamu kwa manufaa ya kisiasa siasa huwa safi. Bali siasa na utaalamu visipochanganywa...
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Kwa kuwa serikali imeendelea na msimamo wake, na Mahakama imeshatoa tamko, na madakitari wameendelea na mgomo!!. Na inaonekana hakuna suluhu, na watoto,mama wajawazito,wazee wasiojiweza na wengine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NDUGU zangu, Nimepitia nilichoandika Februari 4, 2012 juu ya mgogoro wa madaktari na Serikali nikaona ni vema niyarushe tena maandiko yangu yale kama yalivyokuwa, bila kuongeza au kupunguza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KWA tabia yake na kwa mazoea tangu alipoingia madarakani mwaka 2005, Rais Jakaya Kikwete “anapenda wagonjwa”. Kwa miaka takriban saba sasa, Watanzania wamemfahamu kama Rais aliye mwepesi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imekuwa kawaida katika misiba pale historia ya marehemu inaposomwa kuna kipengele ambacho ni cha kuwashukuru madaktari na wauguzi waliomtibu marehemu. Sasa swali; ikiwa mgonjwa amekufa kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Ama kweli huwezi kuadaa watu muda wote,jk naona kimya tena jana kagoma kulonga hotuba ya mwnisho wa mwezi na pia naona kawasahau na wazee wake wa dar. na siku akiwaita anaweza kuwaita ndugu marais...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Kwa mara nyingine tena TBC haijarusha taarifa ya kusafirishwa Dr. Ulimboka, wana harakati waliyozungumza juu ya tukio lile. Ningependa pia kujua mchango wowote uliotolewa na serikali katika...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
LNaNashawishika kuona nchi yetu inabadilika kwenye mindset za wananchi. Tuanze nchi mpya kabisa kuanzia jina, mpaka, Wimbo wa taifa, na katiba. Tumekuwa wanafiki toka tulivyoungana na Zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…