Mkuu wa nchi wapi wazee wa dar es salaam

mayoscissors

JF-Expert Member
Nov 24, 2009
975
471
Ama kweli huwezi kuadaa watu muda wote,jk naona kimya tena jana kagoma kulonga hotuba ya mwnisho wa mwezi na pia naona kawasahau na wazee wake wa dar.
na siku akiwaita anaweza kuwaita ndugu marais wa dar kama pinda alivyomwita mbowe waziri mkuu
 
Back
Top Bottom