05 Julai 2012! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

05 Julai 2012!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwangalizi, Jun 29, 2012.

 1. mwangalizi

  mwangalizi JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 60
  Sijui nchi hii itakuwa vipi endapo mgomo wa madaktari utakutana na ule wa walimu unaotarajiwa kuanza tarehe 05 Julai! Ee Mungu turehemu Watanzania.
   
 2. a

  andrews JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​liwalo na liwe =mizengo pinda
   
 3. mwangalizi

  mwangalizi JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 60
  Du! Hofu yangu tu, afterall let tomorrow worries about itself!
  Thank you andrews
   
 4. M

  Mukalunyoisa Senior Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Walimu siwaamini sana linapokuja suala la migomo
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Walimu sidhani kama watagoma maana ni waoga sana.
   
 6. H

  HOJA YANGU Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walimu hawajapanga kugoma tar. 05. July. ila hiyo tarehe ndo mwisho wa kusubiri kama serikari in nia ya kukaa meza ya mazungumzo na CWT. Kama hii tarehe itapita, walimu watapitishiwa karatasi kusaini kuamua wanataka kugoma au hawataki kugoma. Baada ya hapo CWT itatoa notice ya kugoma.
   
 7. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,096
  Likes Received: 11,232
  Trophy Points: 280
  viongozi migomo ya walimu waoga. Wakichimbwa mkwara wanatulia.
   
 8. M

  Mbundenali Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Walimu tunagoma kimyakimya kwa kushusha kiwango cha elimu, kama pesa kidogo tunafanya kazi kidogo. Ndo mana walimu wengi ck hz wanaomba kwenda kusoma halafu wanakwenda kupg job private
  chezea walimu weye!!
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  baada ya walimu nani watafuatia
   
 10. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Na sasa "Lisu nakuheshimu sana, hii si namna ya kuongea na wakubwa zako"
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Serikali ya CCM ikitaka kuendelea kuongoza Tanzania vyema mpaka 2015, inatakiwa irudishe madaraka ya nchi kwa wananchi wenyewe. Vinginevyo Mkuu ataendelea kupiga mwereka kila kukicha!
   
 12. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Mgomo wa walimu ni hatari kama wa Madaktari kwa kustakabali wa taifa letu. Hawa jamaa wako kwenye mgomo siku nyingi mpaka serikali ikaamua kutaja kuwa div IV ni kufaulu kupunguza makali.
  Tanzania mtoto wa masikini atazidi kuwa masikini
   
 13. KML

  KML JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ajichunge kiongozi wa walim maana nae atajikuta msitu wa pande soon
   
 14. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,735
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Ikiwezekana Tugome wote tuwaunge mkono madaktari na walimu na sisi wenyewe pia waboreshe shule hospitali na waondoe mfumuko wa bei sababu ziko nyingi za Watanzania kuigomea hii serikali Dhaifu jamani tuhamasishane.
   
 15. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kwanza walimu wapo likizo. Kesho itajihangaikia yenyewe!
   
 16. b

  bgmy Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usitulazimishe wananchi wote tugome kwa lipi?? mimi sio mtumishi wa serikali ,mimi ni mkulima ,nimetumia elimu yangu ya juu kwa kilimo na inanipatia faida kubwa sana kuendeleza msisha yangu na ya familia zangu kwa ujumla...kama wewe umeshindwa kutumia akili yao uweze kuishi tafuta njia mbadala ba sio kuwashawishi wengine kwa malengo yako binafsi
   
 17. W

  Welu JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 815
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Mgomo wa waislamu kugomea sensa+ mgomo wa TUCTA+mgomo wa serikali kugoma kuwaletea maendeleo. Kiufupi ni migomo,mgomo,migomo,mgomo hadi raha.
   
 18. t

  tara Senior Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  walimu wanabip tu hawana umoja.....
   
 19. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  UNA UNDUGU NA zomba? naona umekoroga juice ya omo, ni povu tu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mkikosa hoja mnaanza viroja. Huyo ni Mkulima mwenzangu. Na wakulima huwa hatuna muda wa kutafuna maneno.
   
Loading...