La Dr Steven Ulimboka hatuwezi kuliacha lipite hivihivi!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

La Dr Steven Ulimboka hatuwezi kuliacha lipite hivihivi!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Jun 30, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Nikweli Dr Steven Ulimboka ameumizwa na kupewa machungu mkubwa sana hamba yo hayakustaili kwa mtu hasiyekuwa na hatia!!.......ila kama hili jambo lina mkono wa vyombo vya dola sinabudi kusema Waziri wa Mambo ya Ndani anatakiwa ajiudhuru haraka kupisha tume huru ifanye kazi yake kwa ufanisi......

  Hatakuwa mtu wakwanza kufanya hivyo na hatakuwa ameshuka kisiasa la asha itakuwa amewajibika kidemoklasia na kiungwana....Nakumbuka mauaji ya Shinyanga Mzee Ali Hassan Mwinyi aliwajibika kwa kujiudhuru.....na akaheshimika kwenye chama chake na kwenye jamii pia!!mpaka akapewa dhamana ya kuongoza nchi na amesitaafu kwa mjibu na bado wanampenda wananchi.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  Hivi rais wetu ni goigoi, legelege, dhaifu au sifa zote hizo anazo?
  Amekaa kimya, kama kawaida yake atasema huo ni upepo mchafu utapita
   
 3. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Laa hasha!!
   
 4. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  CUF Leo wakitoka jangwani sijui watelekea huko?
   
 5. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Tunahitaji kujua kama mtu alimng'a jino na kucha kwa koleo.
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Najua una uchungu wa dhati na yaliyomsibu Doctor ila Tulia uandike kwa ufasaha na usiharibu lugha ya kiswahili!
   
 7. K

  Kirokolo Senior Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  kama hili la dr ulimboka ni la kumfanya waziri nchimbi ajiuzulu (siyo kujiudhuru), basi alitakiwa awe amejiuzulu siku nyingi maana kuna mengi na makubwa zaidi ya hili ambayo yametokea na hakuna aliyeona kuwa yana uzito wa kumlazimu wariri mwenye dhamana ya ulinzi wa raia kujiuzulu.
   
 8. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Andrew Bwana! Hilo litatusadia kweli? Mkuu, Magige yuko wapi siku hizi?
   
 9. K

  Kirokolo Senior Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  jana inasemekana mhe Rais alipita tegeta namanga wakati kuna mapambano kati ya wakazi wa eneo hili na ffu, na ibasemekana msafara wa mhe. Rais ulipigwa mawe, kuna udhaifu wa kulinganishwa na huo katika mfumo mzima wa ulinzi na usalama wa nchi, raia na viongozi wao? Hili siyo suala la waziri wa mambo ya ndani kujiuzulu, ni jambo la kuangalia mfumo mzima wa ulinzi, usalama, protoko na hata nidhamu ya raia wa nchi hii. Tuyaangalie haya mambo kwa mtazamo mpana zaidi usio na ushabiki wala mhemko au hamasa.
   
 10. m

  mamajack JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Rais wetu ni lelemama lelemama.
   
 11. doup

  doup JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  kwa watu ambao hata wakiachishwa nafasi zao na rais bado wanapiga kelele za lawama, unafikili wenyewe watakubali kuachiangazi?
  Mfano mzuri ni huyu mtoto wa Mwinyi ambaye alikiri kwa kinywa chake mwenyewe kwamba baada ya mabomu ya mbagala ikitokea tena ataachia ngazi, ilipotokea mbagala alifyata mkia kimya kama hayupo duniani.

  maige naye kutolea kelele nyingi utafikili siku anazaliwa alipigwa stika ya uwaziri
   
 12. K

  KISIMASA Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa wadau. Si jambo la kufumbia macho. Leo tunalitazama kwa upeo wa mgomo wa madaktari kwa hasira na gadhabu kutokana na mateso wanayopata ndugu zetu manake kunaweza tokea bias katika thinking. Hebu fikiria labda wangevunja vibanda vyetu hapa mwenge na tukamteua kiongozi wetu asimamie majadiliano halafu akapatwa na haya yaliyompata steven ulimboka je tungesema afilie mbali???? Tuwe reasonable wakuu maana leo kwao kesho kwetu
   
 13. d

  dguyana JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inapokwenda haya majina tunayompa JK sasa yatafikia majina mabaya. Mtu dhaifu mara legelege mara ohoo naogopa BAN mie.
   
 14. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Hili litatusaidia sana. In fact ndipo mahali pa kuanza kumaliza huu mgomo. Kufahamu kama wale watu watano walimng'oa meno na kucha Dr. Ulimboka,kama walikuwa na koleo,kama hizo koleo ni part of their standard work equipment.
   
 15. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Mkuu unacheka wenziyo wanamakengeza kumbe wewe ni chongo!! Kirokolo...tazama hapo kwenye red!!endelea ufikie ngazi ya cheti!


  Asante siyo mbaya ukafungua shule wewe ni mwalimu mzuri sana na wewe ni beautiful!! OSOKONI ukiendelea unaweza kuwa mwalimu ngazi ya cheti!!

  Kwavyovyote vile ni ukiukwaji wa hakiza binadamu iwe ni kwa vifaa vinavyokubalika au la!! Andrew Nyerere haikubaliki kokote duniani kumhg;oa mtu kucha kwa kutumia tool yoyote ile wakati hiyo kucha aina madhara yoyote na jino vilevile hiyo ni kumtesa binadamu nikama uambiwe utatolewa ngozi ukiwa hai!!You can feel the pain how it is!!Br
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,183
  Likes Received: 1,184
  Trophy Points: 280
  huu ni mdebwedo siyo mimi ni matendo yake.
   
 17. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Hivi Mkuu dguyana ukisika mtu kakwambia kamwambie mzazi wako mshenzi ukaenda ukamwambia mshenzi inamaana ninani anakuwa ametukana yule aliyekutuma au aliyetamka??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. w

  wakuwaza JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Sijui kwanini unauliza Kama walikuwa na koleo! Kitendo si kilifanyika? Ama walikuwa na koleo au la, lakini aling'olewa kucha na meno, hata Kama walitumia vidole. Au Unataka kumaanisha kuwa kama hawakutumia koleo basi hakung'olewa!? Sikuelewielewi. Unatoa hoja nyingine kwamba ukishajua Kama walikuwa na koleo basi ndipo mahali pa kianzia kumaliza huu mgomo. Hebu eleza ni kwa jinsi gani.
   
 19. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,291
  Likes Received: 1,214
  Trophy Points: 280
  hili halitapita hivihivi,believe me!
   
 20. i

  iduda Member

  #20
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dunia imekwisha, ila niaminicho mimi ni kuwa what goes around comes around... Ukimtendea mwenzio ubaya ni lazima ukurudie kwa staili ile ile, naamini waliyomtendea huyu docta ni lazima yawarudi tu. Naamini hii inaweza tokea Tanzania tu, kwa nchi zingine haiwezekani..... Chukua mfano wa nini chanzo cha mgogoro wa Tunisia mwaka jana, watanzania pia ni dhaifu kama ilivyo ccm na uongozi wake. Vinginevyo hii ilikuwa ni sababu ya maandamano na kuwaondoa watu kwenye madaraka tuliyowakasimisha. Too bad for my Tanzania
   
Loading...