Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

Don Draper

Senior Member
May 30, 2012
176
87
Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.

Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.

Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka
 
Wapi huko kwenye madaktari wa akiba? Mtu anakuwa held hostage kwa sababu hana option nyingine, sio kwa mapenzi yake.

What happened kwa huyo D. Ulimboka ni dhahiri kwa lazima Pinda ajiuzuru kabisa. AVAI KABISA kwani ajui hiyo janga ??? THIS IS A NETWORK YA SERIKALI TUSIDANGANYANI HAPO
 
Hawa watu wametokea wapi? Naona wanataka kutupumzisha na Maban humu ndani jamani.
 
daktari gan atakaekubali upuuzi wa serikal? Kwa malipo gan? Kuna private hospital nying watapata ajira huko. Au wataenda Rwanda kuna green pasture.
 
Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.

Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.

Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka

Haya ni maneno yako au ya Dr. Ulimboka ? Sijaelewa
 
Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.

Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.

Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka

Hapa Weredi unasumbua sana!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naomba kuuliza kwani kwa nini JENGO KUBWA YA BUNGE ???? THIS IS ABUSE OF TANZANIANS RESOURCES. Hiyo Bunge kuna watu wangapi mpaka ijengwe kubwa kiasi hisho ??? Tunaona Wabunge awajii kwenye Bunge haasa mchana kwani wanaenda wapi ??? Na kama wanalipua POSHO hiyo POSHO ya nini wakati awakae Bungeni kutetea WATANZANIA ??? Tunaomba kujua kwa nini wamechenga Bunge Kubwa kiasi hicho ?? na imegaramia Shilingi ngapi wakati inakaa wazi na mtupu mpaka tena Bunge... Watanzania wanakufa na njaa kazi yao CCM nikupiga meza tuu. Tumechoka jamani ni aibu... Angalia Kenya Bunge yao ni kidogo kwani hawa VIOGOZI WETU WA CCM wana matatizo gani ? 10% inatuowa jamani.
 
Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno.
Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi.

Haiwezekani taifa la watu milioni 45 kuwa held hostage na kundi la watu ambao hawataki ku reason mbele ya meza ya majadiliano.

Its about time serikali ikawa decisive na maamuzi. Wapo watu ambao wako stand by kuchukua hizo kazi za hawa jamaa zake akina Dr Ulimboka

Mbunge wa NgoroNgoro analalamika kuwa wakina mama wajawazito wanajifungulia majumbani na watoto wamekufa kwa kukosa chanjo kutokana na kutokuwepo kwa vituo vya afya na wafanyakazi, kwa kuonyesha mfano tukuombe pamoja na sirikali yako sikivu muanze kuwapeleka hao walioko standby wakaanzie huko.
 
Ni kweli kuwa mgomo wa madaktari unatuathiri watanzania kwa ujumla wenye fedha na wasio na fedha, kinacho nisikitisha ni mapokezi ya jamii (makundi mbambali) hata katika mijadala inayoendelea humu, unaona kabisa mgawanyiko mkubwa ya jamii ya watanzania katika kutatua matatizo hata yaliyo ndani ya uwezo wetu. Hali ya suala hili ilipofikia sasa inahitaji umakini mkubwa hasa baada ya watu kuanza kutekwa na kuteswa, nilidhani wtz tungetumia muda huu kujifunza na kunagalia mustakabali ya nchi yetu bila kujali itikadi zetu na fani zetu. Madaktari wasome upepo unakoelekea, mapokezi ya jamii wanayoitetea katika mgomo unaoendelea, matokeo yake n,k aidha, serikali nayo itafakari kwa undani imani inayojengeka kuwa inahusika na tuhuma za kumtaka Dkt Uliombaka. Kwa upande mwingine sisi kama jamii, wataalam katika fani mbalimbali wanasiasa na viongozi tuliangalie hili suala sasa kwa jicho pevu, weledi na werevu ili kuondoa hisia kwa jamii ambayo imekata tamaa na kuweza kuamini chochote kwa kuwa wanaotakiwa kutoa taarifa za kweli kuhusu nini kipo nyuma ya mgomo huu hawako tayari.

Madaktari wakae watafakari, juu ya mkakati wanaoutumia ambao kwa sasa inaonyesha total failure na kujipanda kwa njia mbadala isiyo kuwa na mtazamo wa kiubabe bali utalaama na dhamira ilyowazi kwa wote siyo kama ilivyo sasa mgomo huu ni dkt Ulimboka.
 
Nionyeshe wapi nimevunja sheria ja JAMII FORUMS zaidi ya kuwa na mawazo mbadala?

acha kutisha watu hapa

....asikutishe bwana,hawa madakitari wanaojifanya wajanja ni wajinga sana wanajifikilia wao tu,waulize kama wanaweza fanya kazi bila nesi au mtu wa usingizi au driver wa kuwapeleka kazini,waache ubinafsi,wapo wengine ni majina tu kila akiingia theatre anatoka na maetrnal death,wengine wana vyeti feki tunawajua akifika hospital anataka uongozi tu uwezi muona anatibu mtu, hapa kitakachofuata ni kuwataja majina...ndugu yangu usibabaike na hawa wanaokutisha ndo wale wale
 
Nionyeshe wapi nimevunja sheria ja JAMII FORUMS zaidi ya kuwa na mawazo mbadala?

acha kutisha watu hapa

Ninapata shida kujua kama hii thinking ni ya kizazi kizee au kipya!!!??? Hawa akina Ulimboko wanatetea maslahi yao kama professionals na wakati huo huo wanatumia akili zao kutetea wananchi (ambao ni mbumbumbu, inaelekea na wewe umo katika kundi hilo) ili serikali iwatengenezee mazingira bora ya kupata huduma za afya - ni wajibu wa serikali kufanya hivyo wala sio msaada au hisani. Ukifukuza akina Ulimboko hujatatua tatizo la msingi - na nyie wapya mtakaoukuja mtafikia hatua ya kutambua kuwa profession yenu inadhalilishwa na mtaanza mgomo!!! Jamani wabongo tumieni bongo zenu badala ya ma.sa.bu.ri yenu. Ingekuwa ni jamii ya waliofumbuka macho wananchi wote tungewaunga mkono madaktari mpaka kieleweke. :A S confused:
 
Back
Top Bottom