Duh! Wamelipa Kodi kweli hawa ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh! Wamelipa Kodi kweli hawa ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibanga Ampiga Mkoloni, Jul 1, 2012.

 1. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,559
  Likes Received: 1,648
  Trophy Points: 280
  Eti habari ndio hiyo!
  [​IMG]
  [​IMG]
  484107_3159046990069_214866788_n.jpg 165930_3159053070221_192923566_n.jpg
   
 2. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,869
  Likes Received: 1,559
  Trophy Points: 280
  kawaulize TRA.. Unatujazia server tu
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1:
   
 4. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hapo lazima padri kala ganji amalizie hotel yake na tengeru
   
 5. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,934
  Likes Received: 668
  Trophy Points: 280
  wivu ni kidonda ...ukiushiriki utakonda
   
 6. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Haya ma pick up truck ni kwa ajili ya kusafirisha nini? Au CHADEMA imegeuka Movement 4 Construction Ltd.??
   
 7. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama hawajalipa si Udhaifu wa TRA na serikali yako kwani hayo magari yalishuka?au yameletwa kama wasomali wanavyosafirishwa?
   
 8. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Mi sioni ishu hapo! Kwani mangapi yanatokea chini ya serikali dhaifu yenye uongozi dhaifu? LIWALO NA LIWE BANA! EBOO!
   
 9. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Si unajua hii ni serikali gani? Basi jibu unalo!! Utajua wamelipa au hawajalipa ukiijua serikali yenu ikoje!!
   
 10. M

  Masabaja Senior Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ata kodi ikilipwa nani ananufaika au ni ujinga wako tu, na kama haijalipwa na mtu amepewa mali yake jibu unalo serikali DHAIFU
   
Loading...