Tucta na cwt kuhusu mgomo wa walimu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tucta na cwt kuhusu mgomo wa walimu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kayabwe, Jul 1, 2012.

 1. Kayabwe

  Kayabwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 338
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Walimu wote nchi nzima tupo tayari na sisi kugoma kama ma daktari.Viongozi simama imara,ikiwezekana hata wawaue kama ilivtokea kwa Ulimboka.Tunasubiri tamko na melekezo yenu.
   
 2. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waalimu wengi ni vihiyo,waoga.Daktari akifukuzwa anakwenda Private hospital,mwalimu wa msingi Div 4 akifukuzwa ataenda wapi?
   
 3. s

  simon james JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waalimu hamuwezi!!!
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ah hawa wanatishiaga tu kila siku tunasikia wanagoma lakini hamna kitu
   
 5. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sasa ivi naona wana mikakati mizito na wamehamasika vilivyo. Tusubiri tuone. Binafsi naona bora wagome actively kuliko wakigoma passively coz madhara yake yatakuwa makubwa sana baadae.
   
 6. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgomo baridi ni bora zaidi.
   
 7. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inaonekana haijawaingia vema kauli ya "LIWALO NA LIWE" Msitu wa pande bado uko live, go ahead!
   
 8. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walimu wa shule ya msingi kugoma ni sawa na Ngamia kupita tundu la sindano labda hawa wanaomaliza vyuo vikuu wanaweza. Sababu wewe mwenyewe jiongeze utajua sababu
   
 9. Kayabwe

  Kayabwe JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 338
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  This time,mtaona.Tumechoka na mishara duni na mazingira magu.mu ya kazi
   
 10. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hapo penye red, MKOBA hawezi. Unakumbuka mwaka ule alipokimbia kupigwa na chupa za maji, sembuse ya risasi? Mineno hiyoo......!!
   
 11. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Walimu???Tusubiri.
   
 12. Kayabwe

  Kayabwe JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 338
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkoba kama hawezi ajitoe mapema,vijana shujaa tupo tayari kufa kwa kutetea haki zetu.
   
 13. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  ha haaa .... DECI ndiyo kiboko yenu
   
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,749
  Trophy Points: 280
  Woga ni kitu kibaya! Walimu hawawezi kugoma kamwe ni waoga sana!
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Idara ya mahakama na jeshi nao watagoma lini?
   
 16. Jerrymsigwa

  Jerrymsigwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 13,283
  Likes Received: 3,724
  Trophy Points: 280
  Waalimu walishagoma siku nyingi kwani output zake hazionekani? wanafunzi aslimia 89 wanakuwa failures. Wagomeje sasa? hata serikali haitishiki,impact yake itakuwa insignificant wagome ili kuwe na 100% failures? inasikitisha sana
   
 17. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaenda kufungua Tution center
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Waalimu wamefuata taratibu zote za sheria, walitoa notisi ya mwezi mzima kwa serikali, na mgomo wao utakuwa rasmi tar.5 July.

  Taratibu zote za kuweka chaki chini umeshakamilika, na watakapoitwa kwenye meza ya mazungumzo wataonyesha wapi pa kupata

  pesa, wapi zitakusanywa. Walimu wanaelewa source ambazo serikali ikiwa makini inaweza kukusanya even beyond expectation.
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  utaambiwa mchochezi Mungi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nasema Walimu hamna jeuri ya kugoma.Hamna msimamo.Wengi wenu ni waoga.Na tuone sasa kama mkigoma.
   
Loading...