Re:rev mtikila kuishukia serikali hotel travertne saa nne na nusu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re:rev mtikila kuishukia serikali hotel travertne saa nne na nusu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mupe, Jul 1, 2012.

 1. M

  Mupe Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mch Christopher Mtikila anakutana na WAANDISHI wa HAbari asubuhi hii saa 4 na Nusu pale Travertine Hotel Magomeni KUTOA msimamo wa DP JUU ya unyama aliofanyiwa Kamanda Dr S ULIMBOKA. ATATOA MSIMAMO ni kwa mini serikali Haina nia ya dhati kumaliza matatizo ya huduma za Afya na Tabia za viongozi wa NCHi hii ya Kwenda kutibiwa nje ya NCHi hata pale wanapopata magonjwa ya zinaa na chunusi.
  DONT MISS IT
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Napenda sana msimamo wa Mtikila
   
 3. tonnyalmeida

  tonnyalmeida JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee huwa simuelewi, Anyway sina sababu za lazima za kumuelewa.
   
 4. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,875
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  sana Mtikila
   
 5. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ati magonjwa ya zinaa na chunusi..tehe tehe
   
 6. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  kumbe yupo?
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Mhh... pengine katumwa huyo. Mnakumbuka wakati wa kifo cha Wangwe aliitisha waandishi na kuwaeleza kwamba waliyepanga kumuuwa Wangwe ni Chadema wakishirikiana na Mengi.

  Alichoshangaza ni kwamba baada ya kuwaambia waandishi hivyo alianza kutoa maombi kwamba habari hizo zitoke ukurasa wa kwanza ktk magazeti kesho yake. Simuamini kabisa huyu.

  Huenda pia safari hii CCM wakamtumia baada ya kumpa kitu kidogo.
   
 8. i

  issenye JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  utamumuelewa siku utakapokombolewa, kwa sasa bado uko kwenye upofu uliosababishwa sera mbovu za nyiynyiemu
   
 9. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kweli bana...majitu yanumwa kaswende yanapelekwa india...
   
 10. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,878
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyu ndiye mtanganyika halisi kwa moyo na damu yake. Nampenda sana Rev. kwa huo msimamo wake wa utanganyika.
   
 11. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Atangaze kesho maandamano nchi nzima 2015 yeye rais
   
 12. O

  Optimisticforchange Member

  #12
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kwa wakati tulionao mtu yeyote anae unga mkono jitihada za ukombozi wa taifa hili kutoka kwenye makucha ya hawa mafisadi ni lazima tumkubali. Kwa hy hata mtikila kama atakuwa nasi basi tumuunge mkono. Maana hapa suala ni kupigana na ccm kwa namna yoyote ilimradi ukombozi wa taifa hili upatikane.
   
 13. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0

  Nalikumbuka tukio hilo, kwani lilishangaza sana hasa ukifikira kwamba miaka michache tu nyuma Mengi huyo huyo alimtumia huyo Mchungaji katika sakata lake Mengi dhidi ya Manji.

  Tanzania hii!!!
   
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 40,996
  Likes Received: 8,441
  Trophy Points: 280
  Mtikila ni noma lazima awachane.
   
 15. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,931
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  updates au muda bado
   
 16. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naona umeamua kujipiga mtama wewe mwenyewe
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Penda na matendo yake akitoka hapo Travertine Hotel anapitia posho kwa Rostm Aziz.
   
 18. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,324
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  Ngoja waje wapinzani wa mfumo kristo wakushukie
   
 19. christine ibrahim

  christine ibrahim JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 11,608
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Kumbeeeee!
   
 20. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,522
  Likes Received: 1,229
  Trophy Points: 280
  ndumi la kuwili yule mwehu.. Sio mtu kupanga nae mkakati wowote
   
Loading...